Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Wajerumani walihisi kuwa ikiwa Wazulu walikuwa wamewasimamisha Wareno katika vita wakashindwa kupata ushindi kwa urahisi watu wa Tanganyika hawataweza kufua dafu mbele ya mbinu za Wazulu za vita.
Hii ilikuwa mwaka wa 1894.


Huu ni ushahidi tosha kuwa Wazee wako hawa wa Kizulu walikuwa na tamaa tu na si vinginevyo.

Kama Mangi Meli aliwasimamisha Wajerumani kwa siku mbili na wakamkimbia ni kwa nini wakadhani kuwa Wazulu wana uwezo zaidi kwa kuwa tu wao waliwahimili Wareno?

Kwamba Wareno ni zaidi ya Wajerumani?. huo ndio mtizamo wako?.

Hapa hai make sense, kinachoonekana ni kuwa Wazulu walijulikana kwa tamaa ndio maana wakafuatwa waje kupigana na Weusi wenzao huku, unadhani kama Wareno wangesikia "mtiti" wa Mangi Meli kule Kilimanjaro wangekuja kumuomba aende walipo awasaidie kuwapigania?.

Kuna tatizo na Wazulu na tumshukuru Mungu akatokea Mwalimu akawaweka pembeni...uzuri ni kuwa hoja nyingine unatuletea wewe mwenyewe kwa kujua au bila kujua kuwa unawabomoa Watu wako...na sisi tunachofanya ni kuunganisha dots tu.
 

Kuna mnakasha hapa uliwahi kuchangiwa kwa kirefu kuonyesha udhaifu wa story za Mohamed Said ungeipata ile thread ungeelimika sana. Nafurahi kuwa Nguruvi3 na Paschal huwa hawachoki kwenda nae sambamba.
 
Nikisema umaarufu zaidi ninachomaanisha ni kuwa kazi ilifanyika na nchi nzima ilijua ya kuwa kuna Mtu anaitwa Nyerere...sikumaanisha umaarufu kama wa Wasanii.

Na hapo ndio tofauti ya kusinzia na kuamka aliyoisema Mwalimu.
 
Yego...
Akiwa na ghadhabu mtu hawezi kufikiria vizuri.

Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan na kupokelewa na Abdul Sykes.
"Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan"

Hivi Pugu sio Dar es Salam?
 
Sir...
Natambua hii historia jinsi inavyowachoma baadhi ya watu.

Ikiwa unaona kuwa kuishi Pugu ni sawa mtu kaishi Dar es Salaam Mtaa wa Stanley kwangu ni sawa.
Kwa hiyo leo unataka kutuambia hapa Pugu sio Dar es Salaam? Nimeani hoja za kina Pascal na Nguruvi zina ukweli

Kuwa na staha wewe mzee almanusura nikushushie matusi
 
Nikisema umaarufu zaidi ninachomaanisha ni kuwa kazi ilifanyika na nchi nzima ilijua ya kuwa kuna Mtu anaitwa Nyerere...sikumaanisha umaarufu kama wa Wasanii.

Na hapo ndio tofauti ya kusinzia na kuamka aliyoisema Mwalimu.
May Day,
Sasa ungekuwa umesoma kitabu cha Abdul Sykes ndiyo ungeshangaa.

Safari ya kwanza ya Nyerere nje ya Dar es Salaam ilikuwa Morogoro na aliongozana na Zuberi Mtemvu.

Bahati mbaya Nyerere mwenyewe katika hotuba ya kuaga Ukumbi wa Diamond anasema safari yake ya kwanza ilikuwa Mbeya.

Inawezekana Mwalimu kasahau maana kutoka 1954 hadi 1985 ni miaka mingi sana.

Hii safari ya Morogoro haikuwa na mafanikio.
(Taarifa hizi zipo katika barua ya Mtemvu kwa Ally Sykes ya tarehe 15 August, 1954).

Safari ya pili ilikuwa 1955 alikwenda Lindi na alifatwa Dar es Salaam na Salum Mpunga na Ali Mnjale.

Umepata kuwasikia wazalendo hawa wakitajwa popote kama walipigania uhuru bega kwa bega na Mwalimu Nyerere?

Nimeandika historia ya Salum Mpunga (2018) kitabu kipo sokoni.
Kama mimi sikuwataja hawa wazalendo hakuna wa kuwataja na historia ya kweli ya TANU itapotea.

Yako mengi tena kwa ushahidi.
 

Attachments

  • WATU MASHURI CHEMBERA, MPUNGA NA MHANDO.jpg
    3.4 KB · Views: 4
Oh! Mie nilidhani kuna spelling error kwenye taazia kumbe ni lafudh ya visiwani, tofauti kama swali kwa huku bara na suali kwa visiwani.

M...
Zamani nikiandika tanzia. Abdilatif Abdallah mtaalamu wa Kiswahili akaniambia hicho ni Kiswahili cha bara.

Sisi watu wa pwani tunasema "taazia," kwa kuwa neno lenyewe asili yake ni Kiarabu.
 
impongo

Ukipata wasaa rejea kwenye huu mnakasha utakuta mbivu na mbichi humo.
Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar
Impongo,
Usinikumbushe.

Wanasema haujapata kutokea mnakasha kama ule.
Ulidumu miezi 6.

Abdul Sykes mzalendo mwana TANU kadi np 3.
Baba yake muasisi wa African Association 1929.

Abdul Sykes aliyeona ofisi ya African Association ikijengwa yeye ana umri wa miaka 5.
Abdul Sykes mfadhili wa TAA na TANU rafiki ya Nyerere na mwenyeji wake Dar es Salaam.

Abdul Sykes aliyekuwa Katibu toka 1950 na 1951 akawa Katibu na Kaimu Rais.
Abdul Sykes aliyegombea nafasi ya urais wa TAA na Nyerere mwaka wa 1953.

Chuo Cha CCM Kivukoni wanakataa kupokea ''notes'' za historia ya TANU zilizoletwa na mwanajopo wa uandishi wa historia ya TANU Hassan Upeka.

Mwenyekiti wa jopo Dr. Mayanja Kiwanuka anasema historia inayoandikwa ya TANU haimuhusu Abdul Sykes.
JF bila khiyana wananipa ukumbi nimzungumze Abdul Sykes kwa miezi 6 bila kupumzika.

Nilikuwa kila nikiandika namuona baba yangu Abdul Sykes anazungumza na mimi kutoka kaburini.

Impongo ndugu yangu usinikumbushe mnakasha ule.
 
@Nguruvi3 ninakushukuru sana kwa kuandika Ukweli na Uhalisia

Pia nimeshukuru kuwa umemfahamu huyu Mzee aliyejaa UONGO na UZUSHI.

Ni Mdini sana na inamuuma sana kusikia kuwa Msomi na Kiongozi maarufu J.K Nyerere aliwazidi akili na maarifa Waswahili wacheza bao ambao hawakupenda Elimu ya dunia wakang'ang'ania juzuu na kutawadha.
 
Haogopi dhambi huyo laanatullah, ni Muislam mnafiki na muongo
 
Unajurikana = Unajulikana

tna = tena

Wewe hata kuandika vizuri hujui unadhihirisha jinsi ambavyo mnaishia kutawadha na kujikunja kwenye mkeka badala ya kusoma

Wewe ni kama Mtume wenu aliyekiri kuwa hajui kusoma wala kuandika
 
Unajurikana = Unajulikana

tna = tena

Wewe hata kuandika vizuri hujui unadhihirisha jinsi ambavyo mnaishia kutawadha na kujikunja kwenye mkeka badala ya kusoma

Wewe ni kama Mtume wenu aliyekiri kuwa hajui kusoma wala kuandika
Sawa nmekuelewa samahani sna Ndugu Lokole...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Paschal,
Hao hapo Abdallah na Maulidi Kivuruga waasisi wa TAA Tabora 1945.

Hayo ya Nyerere ya 1948 hawa ndiyo waliomkaribisha kwenye chama yeye na Hamza Mwapachu.View attachment 1522279
Huu Umbea unautoa wapi Mzee mzima uso na haya?
 
Hapo kote kinachotafutwa ni jambo moja kwamba muslim ndio chimbuko la Tanu-ujinga mtupu.
Siku zote anayeandika historia ni yule mwenye akili kuwazidi wenzake.
 
Hahaha, mkizidiwa hoja huwa mnatukana au kuleta mada zingine

Tulia kwenye mada ya Muumin mwenzio acha kuleta umbea wa kwenye kanga za Dada zako wa Tandale na Magomeni

Hata kuandika vizuri hujui ewe bin Mudy
Narudia tna nmekosa Samahani sna Kaka yngu LOKOLE.

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kote kinachotafutwa ni jambo moja kwamba muslim ndio chimbuko la Tanu-ujinga mtupu.
Siku zote anayeandika historia ni yule mwenye akili kuwazidi wenzake.
Ndicho anachotaka tuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…