Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Wajerumani walihisi kuwa ikiwa Wazulu walikuwa wamewasimamisha Wareno katika vita wakashindwa kupata ushindi kwa urahisi watu wa Tanganyika hawataweza kufua dafu mbele ya mbinu za Wazulu za vita.
Hii ilikuwa mwaka wa 1894.


Huu ni ushahidi tosha kuwa Wazee wako hawa wa Kizulu walikuwa na tamaa tu na si vinginevyo.

Kama Mangi Meli aliwasimamisha Wajerumani kwa siku mbili na wakamkimbia ni kwa nini wakadhani kuwa Wazulu wana uwezo zaidi kwa kuwa tu wao waliwahimili Wareno?

Kwamba Wareno ni zaidi ya Wajerumani?. huo ndio mtizamo wako?.

Hapa hai make sense, kinachoonekana ni kuwa Wazulu walijulikana kwa tamaa ndio maana wakafuatwa waje kupigana na Weusi wenzao huku, unadhani kama Wareno wangesikia "mtiti" wa Mangi Meli kule Kilimanjaro wangekuja kumuomba aende walipo awasaidie kuwapigania?.

Kuna tatizo na Wazulu na tumshukuru Mungu akatokea Mwalimu akawaweka pembeni...uzuri ni kuwa hoja nyingine unatuletea wewe mwenyewe kwa kujua au bila kujua kuwa unawabomoa Watu wako...na sisi tunachofanya ni kuunganisha dots tu.
 
Sitaki kuongeza neno lakini iwapo kuna uongo tupe ukweli ili tufungue fikra zetu tuachane na dhana ya Said.
Maana ulicho kiandika kina fikirisha sana bila majibu
Una mengi ya kutusaidia kuupata ukweli naona una mengi ya kusaidia kufungua fikra na mitazamo tofauti kuhusu hili bandiko la Said.

Kuna mnakasha hapa uliwahi kuchangiwa kwa kirefu kuonyesha udhaifu wa story za Mohamed Said ungeipata ile thread ungeelimika sana. Nafurahi kuwa Nguruvi3 na Paschal huwa hawachoki kwenda nae sambamba.
 
May Day,
Ilikuwa baada ya TANU kuundwa na Nyerere kupanda jukwaani sasa ndipo TANU ikajulikana kote Tanganyika na Nyerere akawa ndiyo kiongozi wa harakati za kudai uhuru wa Tanganyika.

Haya nani maarufu nani hajulikani sidhani kama yana maana sana.

Lakini haya yote na jinsi Mwalimu alivyopokelewa na watu kama Sheikh Hassan bin Ameir yamo katika kitabu cha Abdul Sykes ingefaa ukisome.
Nikisema umaarufu zaidi ninachomaanisha ni kuwa kazi ilifanyika na nchi nzima ilijua ya kuwa kuna Mtu anaitwa Nyerere...sikumaanisha umaarufu kama wa Wasanii.

Na hapo ndio tofauti ya kusinzia na kuamka aliyoisema Mwalimu.
 
Yego...
Akiwa na ghadhabu mtu hawezi kufikiria vizuri.

Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan na kupokelewa na Abdul Sykes.
"Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan"

Hivi Pugu sio Dar es Salam?
 
Sir...
Natambua hii historia jinsi inavyowachoma baadhi ya watu.

Ikiwa unaona kuwa kuishi Pugu ni sawa mtu kaishi Dar es Salaam Mtaa wa Stanley kwangu ni sawa.
Kwa hiyo leo unataka kutuambia hapa Pugu sio Dar es Salaam? Nimeani hoja za kina Pascal na Nguruvi zina ukweli

Kuwa na staha wewe mzee almanusura nikushushie matusi
 
Nikisema umaarufu zaidi ninachomaanisha ni kuwa kazi ilifanyika na nchi nzima ilijua ya kuwa kuna Mtu anaitwa Nyerere...sikumaanisha umaarufu kama wa Wasanii.

Na hapo ndio tofauti ya kusinzia na kuamka aliyoisema Mwalimu.
May Day,
Sasa ungekuwa umesoma kitabu cha Abdul Sykes ndiyo ungeshangaa.

Safari ya kwanza ya Nyerere nje ya Dar es Salaam ilikuwa Morogoro na aliongozana na Zuberi Mtemvu.

Bahati mbaya Nyerere mwenyewe katika hotuba ya kuaga Ukumbi wa Diamond anasema safari yake ya kwanza ilikuwa Mbeya.

Inawezekana Mwalimu kasahau maana kutoka 1954 hadi 1985 ni miaka mingi sana.

Hii safari ya Morogoro haikuwa na mafanikio.
(Taarifa hizi zipo katika barua ya Mtemvu kwa Ally Sykes ya tarehe 15 August, 1954).

Safari ya pili ilikuwa 1955 alikwenda Lindi na alifatwa Dar es Salaam na Salum Mpunga na Ali Mnjale.

Umepata kuwasikia wazalendo hawa wakitajwa popote kama walipigania uhuru bega kwa bega na Mwalimu Nyerere?

Nimeandika historia ya Salum Mpunga (2018) kitabu kipo sokoni.
Kama mimi sikuwataja hawa wazalendo hakuna wa kuwataja na historia ya kweli ya TANU itapotea.

Yako mengi tena kwa ushahidi.
 

Attachments

  • WATU MASHURI CHEMBERA, MPUNGA NA MHANDO.jpg
    WATU MASHURI CHEMBERA, MPUNGA NA MHANDO.jpg
    3.4 KB · Views: 4
Oh! Mie nilidhani kuna spelling error kwenye taazia kumbe ni lafudh ya visiwani, tofauti kama swali kwa huku bara na suali kwa visiwani.

M...
Zamani nikiandika tanzia. Abdilatif Abdallah mtaalamu wa Kiswahili akaniambia hicho ni Kiswahili cha bara.

Sisi watu wa pwani tunasema "taazia," kwa kuwa neno lenyewe asili yake ni Kiarabu.
 
impongo

Ukipata wasaa rejea kwenye huu mnakasha utakuta mbivu na mbichi humo.
Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar
Impongo,
Usinikumbushe.

Wanasema haujapata kutokea mnakasha kama ule.
Ulidumu miezi 6.

Abdul Sykes mzalendo mwana TANU kadi np 3.
Baba yake muasisi wa African Association 1929.

Abdul Sykes aliyeona ofisi ya African Association ikijengwa yeye ana umri wa miaka 5.
Abdul Sykes mfadhili wa TAA na TANU rafiki ya Nyerere na mwenyeji wake Dar es Salaam.

Abdul Sykes aliyekuwa Katibu toka 1950 na 1951 akawa Katibu na Kaimu Rais.
Abdul Sykes aliyegombea nafasi ya urais wa TAA na Nyerere mwaka wa 1953.

Chuo Cha CCM Kivukoni wanakataa kupokea ''notes'' za historia ya TANU zilizoletwa na mwanajopo wa uandishi wa historia ya TANU Hassan Upeka.

Mwenyekiti wa jopo Dr. Mayanja Kiwanuka anasema historia inayoandikwa ya TANU haimuhusu Abdul Sykes.
JF bila khiyana wananipa ukumbi nimzungumze Abdul Sykes kwa miezi 6 bila kupumzika.

Nilikuwa kila nikiandika namuona baba yangu Abdul Sykes anazungumza na mimi kutoka kaburini.

Impongo ndugu yangu usinikumbushe mnakasha ule.
 
Mohamed ana sifa moja kubwa miongoni mwa nyingi.
Ni mtu anayejua kuipeleka hadhra aliyoikusudia kule anakotaka.
Katika kufanisha mipango yake iwe kwa uzuri au ubaya kutegemea hoja, Mohamed hurudi jambo hata mara 1000. Mzee Said anafahamu, kurudia rudia uongo mara nyingi hugeuka kuwa ukweli.
Soma hapa chini
Kwa mtu anayesoma vitu juu juu, au asiye na ufahamu wa kina na mada au mwenye upungufu tu wa kibinadamu wa kuelewa, hoja ya Mohamed inasomeka tofauti lakini kwa mtazamo wa kusudio lake.

Msomaji ataamini kuwa Nyerere alitoka Butiama na kufikia kwa Abdul Sykes.
Na kwamba ujio wa Nyerere ilikuwa zao la juhudi za Abdul Sykes.
Hapo Mohamed atakuwa tayari amempa 'mbwa jina baya ili amuue''

Hapa ieleweke suala si uhusiano wa Nyerere na Abdul unaopingwa.
Nyerere alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika mkutano mwaka 1948 akitokea Tabora.

Baadaye Nyerere alikuja Dar kufundisha kama Mwalimu kule Pugu.

Alipoacha kazi ya Ualimu ndipo alipokwenda kuishi na Abdul

Mohamed hawezi kukueleza mahusiano ya kufahamiana japo kwa juu juu kati ya Nyerere na Abdul

Atakachokueleza ni Nyerere kuishi kwa Abdul na atarudia mara 1000 na inageuka kuwa ''ukweli ''

Tumemueleza Mohamed, haiwezekani Chama kikawa na makao makuu Dar es Salaam chini ya Abdul Kleist Syke Mbuwane, na mwenyekiti huyo asitambue uwepo wa tawi kubwa sana la Tabora likiongozwa na katibu Nyerere.

Haiwezekani kwamba Nyerere alizuka mwaka 1948 kuja katika mkutano ambao watu hawamjui na wala hawakutaka kumjua baada ya hapo.

Ikiwa ni hivyo huyu Abdul atakuwa kiongozi Mpumbavu sana.
Abdul hakuwa mpumbavu! wa kutambua wasomi wachache sana enzi hizo Nyerere akiwa miongoni!

Na ikiwa ilitokea haitakuwa ajabu, Abdul alikuwa Askari na aliwahi kuwafurumusha kwa makonde baba zake katika mapinduzi ya chama, seuse kumtambua Nyerere!

Sina tatizo na mtazamo wa Mohamed wala historia yake.

Nina tatizo na jinsi anavyotumia kalamu yake kuudurusu uongo mara 100 hata kuufanya uwe ukweli kwa sababu rahisi tu '' ukitaka kumuu mbwa mpe jina baya'' na hapa Nyerere hakwepi jina.

Masalaam, narudi viungani kuokota kumbaa !

JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
@Nguruvi3 ninakushukuru sana kwa kuandika Ukweli na Uhalisia

Pia nimeshukuru kuwa umemfahamu huyu Mzee aliyejaa UONGO na UZUSHI.

Ni Mdini sana na inamuuma sana kusikia kuwa Msomi na Kiongozi maarufu J.K Nyerere aliwazidi akili na maarifa Waswahili wacheza bao ambao hawakupenda Elimu ya dunia wakang'ang'ania juzuu na kutawadha.
 
Kati ya dhambi kubwa hapa duniani, ni dhambi ya kumsingizia marehemu, haisameheki!.

Huu urongo wa Abdul kumpokea Nyerere Dar es Salaam, ni urongo Mtakatifu wa mchana kweupe unaorudiwa na Mkuu Maalim Mohammed Said mara 100 ili uonekane ni ukweli!.

  1. Mwalimu Nyerere baada ya kumaliza Tabora School, amesoma St. Francis, Pugu, ni Dar es Salaam!, angalia ni mwaka gani, sio kuja kuongopa humu kuwa kuna Sykes ndio wamempokea Mwalimu Nyerere jijini DSM!.
  2. Baada ya Pugu, Mwalimu amekwenda Makekere, nchini Uganda na ameondokea Dar es Salaam na kurejea Dar es Salaam!, angalia ni mwaka gani?.
  3. Mwalimu Nyerere baada ya Makerere, amekwea pipa kwenda kusoma chuo kikuu cha Edinburgh nchini Uingereza!, hiyo ndege hakupandia Butiama!, alipandia Dar es Salaam!.
  4. Mwalimu amerudi Kufundisha Pugu, aliingilia Dar es Salaam na kuondokea Dar es Salaam.
  5. Mwalimu ndio alikuwa Katibu wa TANU wa Tabora, alikuja Dar kuhudhuria Mkutano Mkuu wa TAA mwaka 1948 wala hakupokelewa na Sykes!.
Kitu ambacho ni kweli, baada ya Mwalimu kuacha ualimu na kukitumikia chama full time, ni kweli yeye na Mama Maria, waliishi nyumbani kwa Sykes na ni kweli waliwahifadhi na kuwasaidia kwa kipindi kifupi kabla ya kuhamia Magomeni.

Mwaka 1996, nilisimuliwa na mjane wa Sykes, Mama Daisy aliyekuwa akiishi pale Opposite California Dreamer, na nilipelekwa na mjukuu wake, Mwamvua Mlangwa.

Kitu ambacho namkubali sana Maalim Mohammed Said ni uwezo wake wa uandishi, na umahiri wa kusimulia, he is gifted, ana kipaji, na kufuatia kipaji hicho, ni mtu wa kuaminiwa, hivyo ana agenda fulani hivyo kutunga uongo na kuu craft vizuri kabisa na kuonekana kama ukweli ili tuu kuitimiza hiyo agenda!.

Niliwahi kutoa angalizo humu kumhusu mtu huyu!.
Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Sasa ni jana tuu tumetoka kumpumzisha Mkapa, hata siku 3 kaburini bado, leo anakuja kumzushia haya, tena kwa kutumia lugha ya kifedhuli kama hii


Wewe Mkuu Maalim Mohammed Said ni mtu wa kutumia maneno haya kumzungumzia Mkapa?!, "Mwandishi mpumbavu peke yake ndiye anaeweza kuchagua uamuzi wa kijinga kama huu.

Benjamin Mkapa hakuwa mtu zuzu".

I think this is too much!.

Thanks God, Mkuu Maalim Mohammed Said ni mtu mwerevu anayejua vyema kusoma nyakati, anamjua vizuri JPM, naamini anazijua vyema sababu zilizopelekea "wale jamaa" waendelee kuhifadhiwa kule 'mahali salama', hivyo tangu baada ya kumtolea angalizo lile, sasa yuko makini kwa kupunguza kuipush ile agenda yake ambayo ndio the motive behind most of his writings, na by the time 'jamaa' anamaliza, "if at all atamaliza", the time left will be too little too late to keep pushing his agenda forward!.

Paskali
Haogopi dhambi huyo laanatullah, ni Muislam mnafiki na muongo
 
Kaka yngu acheni unafiki kwenye ili Hali ya kuwa Ukweli unajurikana Mzee ameleta hoja jibu HOJA sio kuleta Maneno ya kwenye Kanga...narudia tna Nongwa tuachieni wenyewe Wazaramo. ukabila udini kutekena ndio kazini yenu.

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Unajurikana = Unajulikana

tna = tena

Wewe hata kuandika vizuri hujui unadhihirisha jinsi ambavyo mnaishia kutawadha na kujikunja kwenye mkeka badala ya kusoma

Wewe ni kama Mtume wenu aliyekiri kuwa hajui kusoma wala kuandika
 
Unajurikana = Unajulikana

tna = tena

Wewe hata kuandika vizuri hujui unadhihirisha jinsi ambavyo mnaishia kutawadha na kujikunja kwenye mkeka badala ya kusoma

Wewe ni kama Mtume wenu aliyekiri kuwa hajui kusoma wala kuandika
Sawa nmekuelewa samahani sna Ndugu Lokole...
JamiiForums1156303018.jpg


Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Paschal,
Hayo uliyoleta hapa si maudhui niliyoandika.

Rejea kichwa cha habari la huamini haya niliyoandika kwangu si tatizo kwani kuna maelfu leo wameujua ukweli kupitia kalamu yangu.

Ikiwa unataka tujadili TAA Tabora nifahamishe nikukutanishe na Sheikh Abdallah na Maulidi Kivuruga, Chamng'anda Usingizi walioasisi TAA Gongoni huko mwaka 1945.

Nikukutanishe na babu yangu Salum Abdallah Popo na Bilali Rehani Waikela kwa kuwataja wachache na kwa akina mama nikufamishe kwa shangazi yangu Bi. Zarula bint Abdulrahmani.

Ipo Thesis (2019)nimetajwa mie pamoja na babu yangu Salum Abdallah katika ukurasa mmoja ukipenda nitakuwekea hapa.
Paschal,
Hao hapo Abdallah na Maulidi Kivuruga waasisi wa TAA Tabora 1945.

Hayo ya Nyerere ya 1948 hawa ndiyo waliomkaribisha kwenye chama yeye na Hamza Mwapachu.View attachment 1522279
Huu Umbea unautoa wapi Mzee mzima uso na haya?
 
Hapo kote kinachotafutwa ni jambo moja kwamba muslim ndio chimbuko la Tanu-ujinga mtupu.
Siku zote anayeandika historia ni yule mwenye akili kuwazidi wenzake.
 
Hahaha, mkizidiwa hoja huwa mnatukana au kuleta mada zingine

Tulia kwenye mada ya Muumin mwenzio acha kuleta umbea wa kwenye kanga za Dada zako wa Tandale na Magomeni

Hata kuandika vizuri hujui ewe bin Mudy
Narudia tna nmekosa Samahani sna Kaka yngu LOKOLE.
JamiiForums638591.jpg


Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom