May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Wajerumani walihisi kuwa ikiwa Wazulu walikuwa wamewasimamisha Wareno katika vita wakashindwa kupata ushindi kwa urahisi watu wa Tanganyika hawataweza kufua dafu mbele ya mbinu za Wazulu za vita.
Hii ilikuwa mwaka wa 1894.
Huu ni ushahidi tosha kuwa Wazee wako hawa wa Kizulu walikuwa na tamaa tu na si vinginevyo.
Kama Mangi Meli aliwasimamisha Wajerumani kwa siku mbili na wakamkimbia ni kwa nini wakadhani kuwa Wazulu wana uwezo zaidi kwa kuwa tu wao waliwahimili Wareno?
Kwamba Wareno ni zaidi ya Wajerumani?. huo ndio mtizamo wako?.
Hapa hai make sense, kinachoonekana ni kuwa Wazulu walijulikana kwa tamaa ndio maana wakafuatwa waje kupigana na Weusi wenzao huku, unadhani kama Wareno wangesikia "mtiti" wa Mangi Meli kule Kilimanjaro wangekuja kumuomba aende walipo awasaidie kuwapigania?.
Kuna tatizo na Wazulu na tumshukuru Mungu akatokea Mwalimu akawaweka pembeni...uzuri ni kuwa hoja nyingine unatuletea wewe mwenyewe kwa kujua au bila kujua kuwa unawabomoa Watu wako...na sisi tunachofanya ni kuunganisha dots tu.