Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Huu mwanga ni hitilafu ya camera maana kwenye picha yako ya pili hapo ukiangalia unaona umehamia kwenye huo mti baada ya kuonekana angani
 
Tairi ikitoa upepo siku hizi inatoa na moshi ?
 
Yes nimeona hicho kitu , then alivyoangalia ndo akasema naona hii ni kazi ya ruangwa 😀🤭😢! Mwanzo nilijua hiyo Tv 📺 hapo labda
 
Kwa elimu yangu ya ngumbaro na intelijensia ya kawaida kabisa ya kuzaliwa, huo mwanga ni kama reflection nahisi aliyekua anachukua video alikua kwenye gari au sehem kuna kioo.

Imeendelea kubaki hivyo na inaonekana ipo upande wa mchukua picha na sio kitu kilichokua kikitoa mwanga upande wapili.

Bado hii video haitoi jibu la taharuki inayoendelea, kuihusisha na ushirikina ndio kunazidi kuongeza tatizo.
 
Waitwe masheikh wanazuoni wampigie Dua huyo kama katupiwa uchawi atakaa sawa baada ya muda mfupi.
 
Kuna moshi ulitokea Kule Luangwa Raisi akihutubia ,hii jambo LA ajabu

Nitoe machache haya yangetokea kule Ufipani sijui! Yaani watu wangeongea mengi ,munaonaa wafipa !

Jamani acheni zambi ya maneno je, Luangwa wale wazee ni wafipa?

Siamini sana uchawi ,najua upo kwani umemwa sana

Mungu alipishilia mbali wazee wakifipa ,sijui wangekimbilia wapi?
Tusalifye LEZA,aliepusha

Ushauri tusipende kuamini mambo ya kichawi ,Siku hizi hata teknolojia kuna uchawi

Silaha ni yesu na Mohammad kwa waamini

Tuyaule yonsi,mwalinda uli?
 

Aliekua anarekodi simu yake ilikua na flash..ikawa inareflect kwenye kioo cha tv..kikubwa ni huo moshi aisee..adi yeye aliouna akasema wana ruangwa mnaleta na moshi [emoji2]
 
Watu wana uchungu na korosho zao eeh
 
Kutuondoaa wasiwasi vyombo husika au watu husika wakanushe kama sio kweli
 
Hiyo seen niliiona TBC walikuwa Live,ila walikatisha matangazo ghafla baada ya huo moshi kumfunika Rais na yeye kutamka hayo maneno,sema tu tulichukulia kama kitu cha kawaida.
Siongelei video,naongelea picha mtu kabebwa kwenye machela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…