Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

tatizo wengi humu wanakimbilia uchawi lakini moshi huo inaweza kuwa ni shanbulizi la sumu kali sana na hiyo ni kazi ny mtu mbobezi kama ni kweli hicho ndo kilichotokea
Yes nimeona hicho kitu , then alivyoangalia ndo akasema naona hii ni kazi ya ruangwa 😀🤭😢! Mwanzo nilijua hiyo Tv 📺 hapo labda
uwezekano mkubwa si uchawi bali yaweza kuwa moshi wenye hewa ya sumu na kama ndivyo mpiga picha alikuwa anajua kinachoendelea na akamua kusema kuwa ni wana ruangwa ili ikitokea chocote watu waegemee kwenye uchawi kuliko hali halisi ni tuombe hizi ziwe assumption kwani nchi itagawanyika kuliko washangiliaji wengi wanavyodhani vita ya ukanda itakua imetangazwa rasmi tutajuta
 
Mikoa Lindi na mtwara haitakuja kuendelea kamwe sababu ya uchawi na ushirikina.
Itafika mahala mikutano ya vijiji kwa vijiji njiani haitokuwepo zaidi ya wilayani au kwenye makao makuu ya mikoa.
Ziara nyingine za utekelezaji wa majukumu zitafanywa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya,nguvu zaidi itaongezwa kwenye ufuatiliaji.
 
Haiwezi kuwa miale ya jua, wala nyota, wala reflection ya jua, kwasababu inamove na camera. Hata camera ilipogeuzwa, huo mwanga ulikuwa at the same position

Hii video imerekodiwa na simu ikiwa inaplay kwenye TV. The quickest possible explanation ni kuwa kuna mtu mmojawapo aliyekuwa anaangalia hiyo TV aliwasha flash ya siimu probably for recording, kisha reflection ya hiyo flaash ndio inayoonekana kwenye video hii. Labda utuonyeshe origina recording (sio hii recording of a recording) tuone kama hiyo artifact ipo. Otherwise, huo mwanga has nothing to do na huo moshi
 
Daah umeniogopesha, Mungu aepushe
 
Ishu ya sumu kwenye msafara wa Rais ni ngumu sana maana huwa kuna surveiilance ya maana katika eneo ambapo Rais atasimama kuhutubia, Na kama ndivyo najua walinzi watakuwa wamefanya kile kinachotakiwa kujua nini hasa chanzo cha moshi husika na ikiwezekana kuondoka na kidhibiti..

Nafahamu fika serikali ina wataalamu wa kutosha wa forensic kuweza kung'amua kama kweli ni ule moshi ulikuwa na sumu ndani yake, na kwa haraka haraka sumu zinazokuwa katika huo mfumo wa gesi bado hainingilii akilini, hapo kuna namna tu kwa wakazi na wenyeji wa huko LIndi.
 
aliyerekodi karekodi nyumbani toka kwenye tv akitumia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…