Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
kumetokea kama mwanga wa nyota mara moshi from nowhere akainama na kamera ikakwepeshwa ghaflamliotizama video mtuhadithie basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumetokea kama mwanga wa nyota mara moshi from nowhere akainama na kamera ikakwepeshwa ghaflamliotizama video mtuhadithie basi!
WangenijumuishaAna kundi kubwa la walinzi ambao hawana utaalam na malimwengu...
Aniulize mimiKaka Angalia video ule ni uchawi,
tatizo wengi humu wanakimbilia uchawi lakini moshi huo inaweza kuwa ni shanbulizi la sumu kali sana na hiyo ni kazi ny mtu mbobezi kama ni kweli hicho ndo kilichotokeaHasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
uwezekano mkubwa si uchawi bali yaweza kuwa moshi wenye hewa ya sumu na kama ndivyo mpiga picha alikuwa anajua kinachoendelea na akamua kusema kuwa ni wana ruangwa ili ikitokea chocote watu waegemee kwenye uchawi kuliko hali halisi ni tuombe hizi ziwe assumption kwani nchi itagawanyika kuliko washangiliaji wengi wanavyodhani vita ya ukanda itakua imetangazwa rasmi tutajutaYes nimeona hicho kitu , then alivyoangalia ndo akasema naona hii ni kazi ya ruangwa 😀🤭😢! Mwanzo nilijua hiyo Tv 📺 hapo labda
huo mwanga ni editing,si hitilafu ya kameraHuu mwanga ni hitilafu ya camera maana kwenye picha yako ya pili hapo ukiangalia unaona umehamia kwenye huo mti baada ya kuonekana angani
Huwa anaendaga hadi Ubungo kwenye Umeme mkubwa mbona kusitokee moshiUna maanisha hii hapa!!
huo mwanga nadhani ni fotoshop,maana angle imehama na mwanga bado upokumetokea kama mwanga wa nyota mara moshi from nowhere akainama na kamera ikakwepeshwa ghafla
Itafika mahala mikutano ya vijiji kwa vijiji njiani haitokuwepo zaidi ya wilayani au kwenye makao makuu ya mikoa.Mikoa Lindi na mtwara haitakuja kuendelea kamwe sababu ya uchawi na ushirikina.
Haiwezi kuwa miale ya jua, wala nyota, wala reflection ya jua, kwasababu inamove na camera. Hata camera ilipogeuzwa, huo mwanga ulikuwa at the same positionWatu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
sureAliekua anarekodi simu yake ilikua na flash..ikawa inareflect kwenye kioo cha tv..kikubwa ni huo moshi aisee..adi yeye aliouna akasema wana ruangwa mnaleta na moshi [emoji2]
Hanaga siri atajasema tu tuvute subra.Ila alivyombea atakuja kusema siku moja akiwa jukwaani maana ninachompenda mh wetu bhana hana koromeo
Daah umeniogopesha, Mungu aepushetatizo wengi humu wanakimbilia uchawi lakini moshi huo inaweza kuwa ni shanbulizi la sumu kali sana na hiyo ni kazi ny mtu mbobezi kama ni kweli hicho ndo kilichotokea
uwezekano mkubwa si uchawi bali yaweza kuwa moshi wenye hewa ya sumu na kama ndivyo mpiga picha alikuwa anajua kinachoendelea na akamua kusema kuwa ni wana ruangwa ili ikitokea chocote watu waegemee kwenye uchawi kuliko hali halisi ni tuombe hizi ziwe assumption kwani nchi itagawanyika kuliko washangiliaji wengi wanavyodhani vita ya ukanda itakua imetangazwa rasmi tutajuta
Ishu ya sumu kwenye msafara wa Rais ni ngumu sana maana huwa kuna surveiilance ya maana katika eneo ambapo Rais atasimama kuhutubia, Na kama ndivyo najua walinzi watakuwa wamefanya kile kinachotakiwa kujua nini hasa chanzo cha moshi husika na ikiwezekana kuondoka na kidhibiti..tatizo wengi humu wanakimbilia uchawi lakini moshi huo inaweza kuwa ni shanbulizi la sumu kali sana na hiyo ni kazi ny mtu mbobezi kama ni kweli hicho ndo kilichotokea
uwezekano mkubwa si uchawi bali yaweza kuwa moshi wenye hewa ya sumu na kama ndivyo mpiga picha alikuwa anajua kinachoendelea na akamua kusema kuwa ni wana ruangwa ili ikitokea chocote watu waegemee kwenye uchawi kuliko hali halisi ni tuombe hizi ziwe assumption kwani nchi itagawanyika kuliko washangiliaji wengi wanavyodhani vita ya ukanda itakua imetangazwa rasmi tutajuta
aliyerekodi karekodi nyumbani toka kwenye tv akitumia simutatizo wengi humu wanakimbilia uchawi lakini moshi huo inaweza kuwa ni shanbulizi la sumu kali sana na hiyo ni kazi ny mtu mbobezi kama ni kweli hicho ndo kilichotokea