BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hii nyimbo inanibariki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nyimbo inanibariki sana
Acha ujingaHuyu siyo yeye. Internet bwana. Msipokuwa makini mtadanganywa mpaka basi.
AiseeUna maanisha hii hapa!!
Jifunze kwanza kuandika vizuri kabla ya kujitia umajinuni wakati huna ndala mguuni.Katika Lugha adhimu ya Kiswahili huwa hatuna neno la ' alikuwambia ' kama uliloliandika hapa bali tuna neno sahihi la ' alikuambia ' sawa? Jiimarishe Kwanza katika kuijua vyema Lugha ya Kiswahili na ukiona umeshaijua basi unaweza ukarudi tena Kwangu An Eagle a.k.a BRAINIAC ili niweze sasa kukujibu hayo Maswali yako ya Kitoto kama siyo ya Kipuuzi uliyouliza.
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
The Monk himselfKwa elimu yangu ya ngumbaro na intelijensia ya kawaida kabisa ya kuzaliwa, huo mwanga ni kama reflection nahisi aliyekua anachukua video alikua kwenye gari au sehem kuna kioo.
Imeendelea kubaki hivyo na inaonekana ipo upande wa mchukua picha na sio kitu kilichokua kikitoa mwanga upande wapili.
Bado hii video haitoi jibu la taharuki inayoendelea, kuihusisha na ushirikina ndio kunazidi kuongeza tatizo.
AiseeHee! Unataka kutuambia moshi huo ni mlipuko wa battery ya ndani kwa ndani? Na kuwa ni sababu ya kusimama chini ya high voltage electric wire?
Kama ni hivyo hili jambo ni internal sabotage yaani "kikulacho ......"
Kwani watakuwa hawajui battery haitaki mvutano huo?
Mnajifariji huku mnajamberjambertuliopo chato tunajua kila kitu nyie endeleeni kujidanganya na maneno ya mitandaoni.. viva jpm
Aliyekua anachukua video kwenye tv yake alikua kawasha na flashlight.
Ndiyo hiyo inatoa reflection ambayo baadhi ya watu wanadai ni radi. Which means ni uongo hakukua na radi.
Kuhusu moshi. Alikua anahutubia akiwa kwenye gari. Siyo jambo la ajabu gari kumalfunction na kuvuja moshi. Pengine ndiyo kilichotokea. Ila hii assumption nina asilimia nayo chache.
Ya hicho kimweku kinachodaiwa ni radi ninaamini ni flash ya simu kwa asilimia mia.
Mtu wa hivi hua hafi kama watu wanavyotaka.
Huyo aliyeihariri hii clip ana lake jambo. ndiyo maana ameishia hapo na hakuweka mpaka mwisho. Inwezekena lilikuwa tukio la kawaida kabisa lakini kwa sababu mhariri clip alitaka kufikisha ujumbe kwa waamini nguvu za uchawi basi akaondoa sehemu zilizofuata.
Napita tu, thread za hivi zina mengi sana baadae
"Naona hii ni kazi ya ruangwa mpaka mnaleta na Moshi hapa".Anaamini Nini?Amesemaje kuna maneno sikuyapata vema
The Monk himself
Kwanza haijathibitishwa kama Rais ni mgonjwa,Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Jifunze kwanza kuandika vizuri kabla ya kujitia umajinuni wakati huna ndala mguuni.
Hapo ndio huwa mwisho wa mabomu na risasi, kichapo utapiga raia wasio na hatia waket wenyewe wanakuchora tu.Huo moshi sijui[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hao jamaa wanataka kumrestisha Jembe letu wale kichapooo[emoji35][emoji35][emoji35]
Ina maana kuna upepo wa kisulisuli na moshi wa kisulisuli?Ule utakuwa ni Moshi wa kisulisuli...Dah sasa akipona atamuogopa Maja kishenzi!
Itafika mahala mikutano ya vijiji kwa vijiji njiani haitokuwepo zaidi ya wilayani au kwenye makao makuu ya mikoa.
Ziara nyingine za utekelezaji wa majukumu zitafanywa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya,nguvu zaidi itaongezwa kwenye ufuatiliaji.