Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Ruangwa tumewaelewa,hampo pamoja na sisi na hamtaki maendeleo.Kwaherini Ruangwa.Mmemuabisha sana ndugu yenu na Waziri Mkuu Majaliwa.

Pengine mchomoa betri alitokea sehemu ingine ya Tanzania
 
Hii video imerekodiwa na simu kutoka kwny TV, ukiangalia hapo hyo channel inaitwa JWEE info.

J WEE INFO ni online youtube TV kma MillardAyo but nimeenda kucheck Youtube channel hii video nimetafuta sijaiona.

So its either its video ime-editiwa au video its a true video iliwekwa then ikafutwa haraka before haijasambaa kuzuia taharuki.

Bado maswali ni mengi, majibu hakuna. Kuna jambo kubwa.
Angalia posti namba 277 jamaa kaiweka YouTube alafu inaonekana aliendelea kuhutubia baada ya hilo tukio
 
Huo Moshi usishangae Ni sensor ya kiusalama ya KU m alert tu kuwa Kuna hatari.Sio big issue au amalize hotuba awahi haraka sehemu ingine Kuna issue urgent
 
Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.

Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.

Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Nyerere kifimbo chake kimewahipotea huko kwa walima korosho
 
Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.

Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.

Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
True nguvu za makombora mazito toka anga zote dhidi ya MTU mmoja wachawi,Freemasons, mizimu,majini toka kwa wahindi,waafrika,waarabu,albadili bila kuwa na ant missile za kisasa utoboi
 
Naungana na wewe kabisa, kama hii video niliyosikia na kuona yapo hivyo, basi ni hujuma ya kisayansi kabisa wala si ushirikina. Suspects wa kwanza baadhi ya watu wa kitengo.
Ukiangalia clip rais anasema naona wanaruangwa mmeamua kuniletea moshi...so possibly hiyo clip ni kweli
 
Back
Top Bottom