Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Hata mimi hii ni moja ya sababu niliyoacha kushabikia vyama vya upinzani
 
Huwaamini wanao kupenda je wewe kwako si bora umwaamini shetani🫠
 
But ungejitahidi kujikita kwenye mada kuliko kufanya personal attack
 
Nadhan Unaota nani umemuona anachukia upinzani
kwan kuna mahali kuna chuki kwenye hoja iliyoko mezani, au wewe ndie umejaa chuki binafsi moyoni gentleman πŸ’
 

Sisiem siiamini lakini wapinzani siwaamini hata zaidi. Hasa kipindi kile cha kuunga juhusi
 
Usiwaambie ukweli hawa ukweli unauma wadanganye masikio yao na macho yao yanapenda kudanganywa kuwa mtachukua kiti tuwafariji hivyo hivyo

Usimuamshe alie lala wacha walale
Kidumu chama tawala
 
Kinacho kuchekesha hapo kwenye bandiko ni kitu gani kama siyo upumbavu?

Inaonekana huko ndani ya CCM kumevurugika sana kama mtu kama wewe ndiye unatumwa kuja hapa kuteka watu.
Kwa hali ilivyo na inavyoendelea kubadilika utaishia kuchekacheka na kubandika takataka nyingi humu ambazo zitapuuzwa.

Hicho kicheko cha kinafiki ni ishara ya maumivu makubwa kwako kwa kutambua ukweli kuwa wakati wenu umefikia mwisho.
 
But ungejitahidi kujikita kwenye mada kuliko kufanya personal attack
Kuna mada gani hapo ya kujadili?
Usijiingize kwenye mambo usiyo yafahamu yameanzia wapi. Kama nawe ni msaidizi 'mtekaji'; elewa kwamba kazi yenu inazidi kuwa ngumu hapa JF. Mtajaza tu takataka zisizoweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu.
Ngoja nikutazame tena vizuri nisikosee tena safari nyingine nikikutana na wewe, "Hziyech22'? Noted.
 
mwenzio ametoa ya moyoni dhidi yangu, na sasa amepata relief ya kutosha, moyo wake umetulia, hana mihemko tena, anasonga mbele akiwa huru moyoni πŸ’

bado wewe sasa,
ndio kwanza umepata bando sasa hivi, huku ukiwa na mzigo mzito wa mihemko na ghadhabu dhidi yangu...

mimi ni dawa ya mihemko, utapona tu kua na Imani.

ila dah, utumwa mbaya sana huo wa kujitakia. Chuki binafsi ya nini sasa gentleman?πŸ’

mtu akiona unabwabwaja na kubabaika kwa mihemko, ghadhabu na matusi mazito mazito bila sababu asicheke jaman, alaaa🀣

CCM wote wanacheka sasa si utafura mashavu sana kwaajili ya kununua kwa chuki binafsi zako gentleman?🀣
 
Una matatizo wew si Bure
Maswali yako ya kitoto kitoto
Hivi una umri Gani?? Umemali shule wewe? Uko form Gani?
 
kwahiyo hapo ndio umemtishia kijana kwamba una la kumfanya, right?🀣

jamaa wengine bana,
kakushauri ustick kwenye mada, uachane na issue za personal,
ambazo hazina maana yoyote, ati unamvimbia na vitisho dhaifu na vya kinyoonge namna hiyo, kweli 🀣
 
Una matatizo wew si Bure
Maswali yako ya kitoto kitoto
Hivi una umri Gani?? Umemali shule wewe? Uko form Gani?
🀣 badala ujikite kwenye hoja unaleta issue za akina Neema na Baraka darasa la 3,
1. how old are you?
2. which class are you?
3.what is your school name?
4.who is the teacher on duty?
πŸ’

jitahad bana acha mihemko huenda ukaaminiwa πŸ’
 
Hakuna, bado nawaamini watakuja kuimarika na kiwango cha nguvu ya vyama vya upinzani itakuwa kubwa zaidi ya sasa. Hizi ups & down ni kawaida katika maisna.

Siasa ni kitu halisi, siyo maigizo, so matokeo mazuri au mabaya ndiyo uhalisia wenyewe ambao hata sisi tunakutana nao kwenye maisha ya kawaida.

Kutarajia mafanikio matupu katika chochote kile kunaweza kukufanya uwe binadamu usiye na msImamo, jambo ambalo si sifa njema kwa yeyote yule.

Ova
 
sasa ulikua wapi na positive reply kama hizi na wewe aah?πŸ’

πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Tatizo lako tangu shemeji yako ateuliwe na raisi umekuwa na vurugu humu jamvini utulizi akili una muhemuko

Sisi baba zako tupo tangu Nyerere tunaijua ccm nje ndani tunaujua upinzani pia

Kwa hiyo kuwa na adabu kijana
 
hata kumnunuliwa Lisu gari hawataki, jamaa akaanza kufanay donei, na chairman kaminya kimyaaa hata donei hakuhamasisha. Lisu anapata shida sana na hana hata kwa kwenda mskini.
Mkuu hasara nyingine zaweza kupunguzwa Mh Lissu alikuwa na gari ya thamani hivi gari yake ilipomiminwa risasi lukiki ilikuwa na comprehensive insurance?
Kama ilikuwa na bima hiyo ni haki yake bima kumlipa gari mpya.
 
Tatizo lako tangu shemeji yako ateuliwe na raisi umekuwa na vurugu humu jamvini utulizi akili una muhemuko

Sisi baba zako tupo tangu Nyerere tunaijua ccm nje ndani tunaujua upinzani pia

Kwa hiyo kuwa na adabu kijana
una wivu sana gentleman dah 🀣

mimi siwezi kua na hiyo kitu mihemko ambayo uko nayo daima...
na binafsi sina sababu hata moja kua nayo,

majukumu mazito na magumu ambayo niko nayo, ni mengi sana. na kwasababu mimi ni mtu wa utarabu na bidii, huyatimiza na kuyakamilisha mapema kwa ufanisi mkubwa, na kunifanya kila wakati mwenye furaha sana na kila mtu πŸ€“

hata hivyo,
kama kweli wewe ni miongoni mwa watu wa tangu Nyerere, na uko na hasira na kila kitu na kila mtu alie kinyume na maoni , mawazo na mtazamo wako, basi nadhani uko jioni mno, jua karibu kuzama..

muda umeenda sana huwezi tena kuustahimili, utofauti wa mawazo bila kuhemka, kughabika na saa zinngine kudhihaki wengine na kuyaporomosha ya nguoni, dah hurumaaaaa sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…