ni kiri tu mbele yako na mbele ya JF fraternity,
kwamba mimi si tu mtekaji wa fikra, mitazamo na maoni tofauti ya wengine na kuniunga mkono mimi na ccm juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa...
bali pia nimebeba dhamana na jukumu zito na muhimu sana la kuwatumikia wananchi. nina heshimika sana, nina ushawishi mkubwa sana na wa kutosha mno ndani na nje ya jukwaa hili...
vile vile ni mshauri wa masuala ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, na muumini wa siasa za hoja mitandaoni na kwenye majukwaa halisi ya kisiasa maeneo mblimbali nchini