Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Kuondoa au kupunguza kelele za "amemweka mkwe wake pale"

Hata Magu angewezaga tu kumtoa mpwa wake Dotto Biteko pale Fedha kama PayMaster ili kuondoa kelele zile tunazozikumbuka sana...

Lakini yule mzee alikuwa kichwa ngumu kweli na ndiyo akajiita "JIWE..!"
Doto James
 
Jiwe pekee lililozikwa
 
We unafanya uchochezi. Sijuii kwa nini mod anaruhusu.
Wizara ya kuchinja watu inagombaniwa.
 
Mimi naona Mei Mosi inakaribia na zaidi 2023, mwaka wa kuanza kupewa asilimia 25 yaa mafao kulingana na sheria ya mafao (iliyopotisha kikokotoo kipya) ambayo haijafutwa.

Kwa yaliyopangwa mishahara haiwezi kupandishwa na mambo ya kikokotoo yaliyoletwa na Jenister yataanza matumizi rasmi. Mama hataki mwanae achafuke kwa mambo hayo.

Ameamua kuwaleta waliobuni hayo mambo, hasa hasa sheria ya kikokotoo kipya ya kuua wastaafu kwa kiharusi, kisukari na presha waje wayasimamie wenyewe.

Mchengerwa aliomba kikombe hicho kimwepuke na kimpitie mbali kabisa. Jenister hana cha kupoteza. Anaowaongoza ni wanavijiji wasiojua maumivu ya vikokotoo na watumishi.

Poleni watumishi wa uma, poleni wastaafu.
 
Kuondoa au kupunguza kelele za "amemweka mkwe wake pale"

Hata Magu angewezaga tu kumtoa mpwa wake Dotto Biteko pale Fedha kama PayMaster ili kuondoa kelele zile tunazozikumbuka sana...

Lakini yule mzee alikuwa kichwa ngumu kweli na ndiyo akajiita "JIWE..!"
Jamaa alifaa sn lakini
 
Huyu Dogo ilikuwa lazima aondolewe,kwasababu tayari kulikuwa na maneno ambayo si mazuri kwa mteule.

Ziliwahi kusikika hoja kwamba yeye na Majaliwa ndio waliokuwa wameshikilia masuala yote ya ulinzi na usalama.

Hata Tundu Lissu aliwahi kutamka hadharani,sasa ukiweka na hili kachukua Binti wa Bi Mkubwa nadhani ni uamuzi mzuri kuondoa makando kando.
Jamaa lakini alifit sn
 
Kutoka wizara nyeti ya Utawala Bora na Utumishi wa Umma mpaka Wizara ya Michezo? Nini kimemkuta waziri huyu kutoka royal family?
Keshamaliza assignment yake Idara ya usalama! Wahuni wa mwenzake washakuwa spotted. Anakuja mwingine wa kuja kureshufle mambo ya usalama kutokana na ripoti ya Mchengerwa. Una swali jingine?
 
Umeongea kama mganga wa kienyeji
Keshamaliza assignment yake Idara ya usalama! Wahuni wa mwenzake washakuwa spotted. Anakuja mwingine wa kuja kureshufle mambo ya usalama kutokana na ripoti ya Mchengerwa. Una swali jingine?
 
Kuondoa au kupunguza kelele za "amemweka mkwe wake pale"

Hata Magu angewezaga tu kumtoa mpwa wake Dotto Biteko pale Fedha kama PayMaster ili kuondoa kelele zile tunazozikumbuka sana...

Lakini yule mzee alikuwa kichwa ngumu kweli na ndiyo akajiita "JIWE..!"
Nina umani una maana ya Doto James na siyo Doto Biteko.
 
Back
Top Bottom