CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
WAISLAMU HAWAKWENDA SHULE KAMA MTUME.
MTUME HAKUJUA KISOMA WALA KUANDIKA.
MTUME HAKUJUA KISOMA WALA KUANDIKA.
Kama kuna namna mambo yao yanaenda chini ya huu utawala sasa unafikiri watabwata nini tena? Assad mie naamini alikuwa na ugomvi binafsi na JPM.Hapo kwa Wakristo utakuwa huwatendei haki kabisa, waliokuwa mstari wa mbele kumpinga na kumkosoa JPM ni Wakristo na wameendeleza moto huo hata wakati huu wa Samia, utofauti ni Waislamu waliokuwa wanampinga JPM kama wakina Fatma Karume, CAG Assad, Salum Mwalimu na wengine wengi wamepoa sasa hivi.
Harakati na mapambano ya nini?Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana.
Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa engine ya mapambano na kina Nyerere walikuwa body tu.
Waislamu waliendelea kutoa mchango mkubwa wa changamoto dhidi ya utawala hata na mapambano ya kuboresha haki hata baada ya uhuru kupitia watu kama kina Bibi Titi Mohamed.
Harakati za mapambano ya haki ziliendelea tukiwashuhudia watu wenye majina makubwa na maarufu Waislamu kama wakina Maalim Seif, Aboud Jumbe, Zitto Kabwe, Professor Safari, Said Arfi, Prof Lipumba, Uamsho, CAG Assad, Salum Mwalimu mpaka Fatma Karume.
Hata hivyo ni wazi mchango wao umekuwa ukienda ukipungua, kuwa vuguvugu na wakizidi kujitambulisha na kujiweka karibu na serikali zaidi mpaka leo wamekuwa watetezi wakubwa wa serikali au wasiotaka kuikosoa tena.
Sasa hivi majina makubwa walio active wamebaki wachache sana kama Sheikh Ponda tu.
Ni kwa sababu walianza kuwa wasaliti.Kwa mfano,walitaka kumhujumu Mwalimu Nyerere kupitia Jumuiya ya kiislam ya Afrika Mashariki.Nyerere akawashtukia na kkufuta hiyo taasisi na kuunda ya kizalendo na inayotii mamlaka.Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana.
Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa engine ya mapambano na kina Nyerere walikuwa body tu.
Waislamu waliendelea kutoa mchango mkubwa wa changamoto dhidi ya utawala hata na mapambano ya kuboresha haki hata baada ya uhuru kupitia watu kama kina Bibi Titi Mohamed.
Harakati za mapambano ya haki ziliendelea tukiwashuhudia watu wenye majina makubwa na maarufu Waislamu kama wakina Maalim Seif, Aboud Jumbe, Zitto Kabwe, Professor Safari, Said Arfi, Prof Lipumba, Uamsho, CAG Assad, Salum Mwalimu mpaka Fatma Karume.
Hata hivyo ni wazi mchango wao umekuwa ukienda ukipungua, kuwa vuguvugu na wakizidi kujitambulisha na kujiweka karibu na serikali zaidi mpaka leo wamekuwa watetezi wakubwa wa serikali au wasiotaka kuikosoa tena.
Sasa hivi majina makubwa walio active wamebaki wachache sana kama Sheikh Ponda tu.
Kipindi cha Magufuli wakati TEC, KKKT na Mwamakula wanapinga mambo na kurekebisha, ulikua hujazaliwa?
Hapo kwa Wakristo utakuwa huwatendei haki kabisa, waliokuwa mstari wa mbele kumpinga na kumkosoa JPM ni Wakristo na wameendeleza moto huo hata wakati huu wa Samia, utofauti ni Waislamu waliokuwa wanampinga JPM kama wakina Fatma Karume, CAG Assad, Salum Mwalimu na wengine wengi wamepoa sasa hivi.
Karibu Waislamu wote sasa hivi ni BAKWATA.
Kuna hii saikolojia ya hovyo kidogo bongo kwamba, awamu ambayo Rais aliyopo madarakani ni Muislamu, hamasa ya Waislamu kupambana na serikali inashuka sana automatically.
Huwa kuna kale kamtazamo ka chini kwa chini kwamba serikali ni yetu, hata kama kiuhalisia matatizo ya kiuchumi na kijamii yanamgusa kila mtu bila kujali dini. Hii complacency ndio inafanya sauti za kukosoa zionekane kama usaliti ndani ya jamii. Ni ujinga sana!
Mkuu japo tunaogopa kuongelea udini kwenye siasa zetu ila huo udini upo na ni mkubwa...
Kama unakumbuka kipindi CUF ina mgogoro na Maalim Seif akahama, kila mtu alitarajia ataenda Chadema...
Maana kwa wakati huo ndio chama kilikua kimejipambanua kupambana na uovu...
Na Maalim akijulikana kama mpigania haki...
Unajua kwanini alienda ACT?
Fatma Karume pia baada ya kutoka CCM...
Mkuu nakuhakikishia wakati nyinyi wengine mnapambania haki bila kutazama tofauti za kidini au kijamii kuna wengine wana jicho tofauti.
UNA DATA ZA KU SUPPORT CLAIMS ZAKO ?
Watu wengi waisilamu wanaharakati wanatoka ukanda wa Pwani, Tanga, Pemba, Mtwara, Lindi, dar, Pwani etc. tukiachana na mambo ya Uhuru, baada ya Uhuru kuna ushahidi usio na shaka mikoa yetu ya Pwani kutelekezwa,Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana.
Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa engine ya mapambano na kina Nyerere walikuwa body tu.
Waislamu waliendelea kutoa mchango mkubwa wa changamoto dhidi ya utawala hata na mapambano ya kuboresha haki hata baada ya uhuru kupitia watu kama kina Bibi Titi Mohamed.
Harakati za mapambano ya haki ziliendelea tukiwashuhudia watu wenye majina makubwa na maarufu Waislamu kama wakina Maalim Seif, Aboud Jumbe, Zitto Kabwe, Professor Safari, Said Arfi, Prof Lipumba, Uamsho, CAG Assad, Salum Mwalimu mpaka Fatma Karume.
Hata hivyo ni wazi mchango wao umekuwa ukienda ukipungua, kuwa vuguvugu na wakizidi kujitambulisha na kujiweka karibu na serikali zaidi mpaka leo wamekuwa watetezi wakubwa wa serikali au wasiotaka kuikosoa tena.
Sasa hivi majina makubwa walio active wamebaki wachache sana kama Sheikh Ponda tu.
Nimekuelewa, kwa lugha nyingine unasema haya mambo ya watu kupotea, kupotezwa au kutekwa kisiasa, haki za kidemokrasia mfano uchaguzi, uhuru wa habari na ukosoaji, kesi za kubambikia, nepotism, ufisadi wa rasilimali na mambo mengine kama hayo sio ishu sana kwa upande wa Waislamu ili mradi wanapata kipato au maendeleo ya kudunduliza ya hapa na pale katika jamii zao.Watu wengi waisilamu wanaharakati wanatoka ukanda wa Pwani, Tanga, Pemba, Mtwara, Lindi, dar, Pwani etc. tukiachana na mambo ya Uhuru, baada ya Uhuru kuna ushahidi usio na shaka mikoa yetu ya Pwani kutelekezwa,
Mfano Pemba, karafuu yote hutoka Pemba na kwa miaka mingi visiwani karafuu ndio zao linaloongoza export, mamia ya mabilioni, cha ajabu karafuu inaendeleza Unguja wakati Pemba wakulima wenyewe masikini wa kutupwa na hawapo wengi ni watu kama laki 5 tu.
Same kwetu Tanga, kabla ya Uhuru Tanga tayari ni Manispaa, na wakati wa Uhuru ukiangalia sensa ya mkoloni ni mji wa pili behind Dar, ila tulivyopata tu Uhuru mkoa ukaanza kuhujumiwa, sio Tu sisi Tanga Bali ukanda wote wa kaskazini, ila tunaongelea uisilamu nabase kwa Tanga. So tunalipa Kodi nyingi mno, tunazalisha Pato kubwa la taifa, hela tunayozalisha inaenda kuendeleza mikoa mingine.
Hali hii ikasababisha watu kama kina maalim seif na Cuf ya Zamani kwa ujumla kupata wafuasi wengi wa kiisilamu, na Serikali ya CCM mpaka utawala wa Kikwete kwa kiasi kikubwa walishindwa kusikiliza matakwa ya Pwani.
Magufuli Huwa simkubali kwenye issue za Uchumi ila siwezi mnyima credit kwa kutusikiliza watu wa pwani, Huyu jamaa hakua mtu wa system, na utawala wake kuna mambo mengi akaanza kutofuata, Same kwa Samia nae kuendeleza ya Magufuli na pia kaweka yake, mfano Hapa Tanga tumeletewa Bomba la mafuta, Bandari imeanza Tena kufanya kazi, viwanda kibao vipya vimeanza Tena kazi etc.
Same kwa Pemba Mwinyi kwa kiasi kikubwa ameweza kuunganisha wa Unguja na Pemba, unapopeleka keki ya Taifa kwa watu basi nao wanapunguza upinzani.
So sio kwamba uanaharakati umekufa Bali watu wametulia sababu hawaminywi sana, ila ikitokea kesho Raisi kama Salmin Amour anaingia Znz tegemea Tena kumuona Maalim seif wa pili, same kwa Huku kwetu bara kukianza kuminywa basi utaona CUF v2.
Wapinzani wa kiisilamu most of time matakwa Yao ni tofauti na wanaharakati wengine design za kina Mange na wengineo.
Nilishawahi kujihoji mwenyewe kama wewe si kuwahi kupata majibu mpaka leoWaislamu wanafaidikaje na utawala wa Samia?ujue mie najiuliza sipati jibu.
WAISLAMU HAWAKWENDA SHULE KAMA MTUME.
MTUME HAKUJUA KISOMA WALA KUANDIKA.
Huwa nyie mnapenda sana kuangalia upande mmoja, usiende mbali angalia hapa hapa JF, tafuta makada wakubwa wa Chadema niambie nani sio Islamophobe? Wachache sana, why struggle zangu nimsaidie mtu ambaye kizazi changu akipata madaraka anaweza kunipoteza?Mkuu japo tunaogopa kuongelea udini kwenye siasa zetu ila huo udini upo na ni mkubwa...
Kama unakumbuka kipindi CUF ina mgogoro na Maalim Seif akahama, kila mtu alitarajia ataenda Chadema...
Maana kwa wakati huo ndio chama kilikua kimejipambanua kupambana na uovu...
Na Maalim akijulikana kama mpigania haki...
Unajua kwanini alienda ACT?
Fatma Karume pia baada ya kutoka CCM...
Mkuu nakuhakikishia wakati nyinyi wengine mnapambania haki bila kutazama tofauti za kidini au kijamii kuna wengine wana jicho tofauti.
Ni tawi la CCMBakwata sio waislamu