Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

Uichukie Chadema kwasababu ya IDs feki za JF?

Ni kiongozi gani wa Chadema aliwahi kutoa kauli za kuwachukia waislamu?

Lissu amepambana mala ngapi kuwasaidia waislamu waliopewa kesi za ugaidi?

Mkuu usikimbie kivuli chako, waislamu wa nchi hii mnatakiwa kubadilika...

Mmekuwa mkivaa miwani ya mbao kila awamu viongozi wanapokuwa waislamu...

Leo hii Samia anaua anateka anafanya kila ubaya, ila kwasababu ni mwislamu baadhi yenu mko kimya...

Na bahati mbaya hamtaki wengine waseme, wakiongoe mnawaona wa dini...

Msitupeleke Nigeria wakuu.
As I said kwenye comments zangu zilizopita sina Tatizo na Lissu na nafahamu mchango wake mkubwa tu sio hao wa Magaidi Bali hata kwa Wapemba na Muungano kwa ujumla,

Lema tu sio mara moja anatoa kauli tata, na hawa wa humu JF sio Tu members ni makada na humu ndani ndio unapata kumjua mtu vizuri zaidi.

There is a reason mtu kama Fatma Japo sio religious unamuona mara kwa mara anawaonya Chadema kwamba hawataingia madarakani bila kura za waisilamu na wakristo.

So tusimungunye tu maneno, kama watu wanataka mapinduzi ya kweli basi yawe ni mapinduzi ya kunufaisha wananchi, kama kesho kutakua na maandamano ya kupinga mifumo wa uchawa na watu kupotezwa naamini wengine watashiriki na kuunga mkono, lakini haya matakwa mengi ya kisiasa wengi hawaungi mkono at least kwa upande wetu.
 
Unaongea vitu vya kufikirika zaidi,
mazombi watekaji Zanzibar walikuwa ni Wazanzibar wenyewe wanatekana.

Kusema ukosoaji wa watu wa Pwani ni wa staha na data driven nako ni kujikosha tu na lugha za kiCCM ambao ndio wanaamua ukosoaji upi ni matusi na upi unawapendeza. Kama kiongozi ni mwizi unapaswa kuambiwa mwizi tu sio mhamishaji pesa za umma.
Sijasema ukosoaji wa Pwani ni wa staha, nimesema watu wanaokubalika pwani ni wakosoaji wa staha, Zitto, Lissu na wengineo sio watu wa Pwani ila wanakubalika kutokana na wanavyoweka hoja zao.

Pia si kweli watekaji wa Znz ni watu toka huku, Uchaguzi wa wakati wa Magu ni kikosi maalum toka Burundi, yashazungumwa mengi humu, kila mzanzibari anafahamu ukikaribia Uchaguzi maboti yanapeleka watu wengi Znz kufanya kazi zao.
 
Nawakumbuka vizuri sana mkuu, ndio maana nashanga leo wamepotelea wapi!
Vipi, unawakumbuka prof tibaijuka na warioba wa kipindi Cha magufuli na WA Sasa hivi?!!! Naomba sema neno tafadhali Ili nafasi Yako iwe huru.
 
Wakina Nyerere, Mkapa, Magufuli wanaaanzisha Miradi mikubwa ya nchi hao waswahili washenzi, wezi mafisadi wanakuja kuharibu kila kitu.

Shenzi kabisa.
Pole kwa sumu Kali ya chuki iliyokupata. Bahati mbaya huwezi kuwaondoa waislamu nchi hii hata ufanye nini', hata uzushe vipi. Sasa unaweza kujikuta unaolewa nao tu.
 
Hili la udini litatuchukulia muda mrefu sana kwenye maendeleo ya jamii nzima ya Kitanzania
 
Tanzania kuna islamophilia zaidi kuliko Islamophobe. Hakuna kada wa CHADEMA ninayemjua mwenye chuki na Uislamu, ninachoona ni CHADEMA na BAKWATA hawaivi chungu kimoja kwenye siasa,

Bakwata ni taasisi ya CCM, unatakiwa uwe unatengenisha Waislamu na Bakwata
 
Unaongea vitu vya kufikirika zaidi,
mazombi watekaji Zanzibar walikuwa ni Wazanzibar wenyewe wanatekana.

Kusema ukosoaji wa watu wa Pwani ni wa staha na data driven nako ni kujikosha tu na lugha za kiCCM ambao ndio wanaamua ukosoaji upi ni matusi na upi unawapendeza. Kama kiongozi ni mwizi unapaswa kuambiwa mwizi tu sio mhamishaji pesa za umma.

acha kuchanganya madawa, kikosi cha mazombi kinasadikika kilishirika katika vurugu za oct 29, lakini masuala ya utekaji waso hawahusiku, ni kikosa cha hapa hapa Tanganyika
 
Back
Top Bottom