Baabu huku ndio tunawazidi kwa idadi tutabishana mpaka kesho hapaAkili yako ndogo sana, South Africa wana lishe bora, na nyama ni chakula cha kila siku.
Huwezi kumjuwa mtu mwenye HIV kwa macho South Africa.
Tanzania lishe mbovu lazima mfe zaidi.
Lakini ukweli ni huo South Africa kuna maambizi makubwa ndio wanaongoza lakini ngoma wala haiwadhuru wanakula vizuri.
Huu sasa ni ujuaji, kila taarifa ni za kupikwa???Cooked data
Ndio nimekwambia hizo ni data zilizoivishwa jikoni yaaani zimepikwaHuu sasa ni ujuaji, kila taarifa ni za kupikwa???
Wewe za uhakika unazitoa wapi
Thabo Mbeki alikuwa na akili kama za Magufuli na CORONA.Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Hawashangai shoga ndio washangae ukimwi?Nimekupa kwa uchache tu huko nilipotaja hawashangaani eti fulani ana Ukimwi wao ni jambo la kawaida km ilivyo Maralia au Homa ya Mafua sio kwamba wanatishika maana wanaona ni jambo la kawaida fanya suu ARV wasipewe ndio utajua SA ina idadi kubwa au huku ndio tuna idadi kubwa
Na walivyobarikiwa upaja na nyashKuna vile visketi wanavaa wanafunzi wa kule, aisee Sio Poa.
Maadilli hata shuleni lazima yayumbe tu.
Huku mwanafunzi unaweza uka sex naye akiwa amefikisha kuanzia miaka 17, mahusiano shuleni huku wala hakuna mtu anaangaika nayo ni mtoto wako tuu aamuwe mwenyewe...Kule ngono sio jambo kuzungushana.Utandawazi umepitiliza kuna siku nilipita shule ya msingi nikakuta kuna sehemu wameweka box la condom yani wanafunzi wamsingi wanashauliwa kujikinga
Halafu ni magovi.Nadhani ngono zembe imezidi sana..
Wewe SA na Bongo Bongo ina idadi kubwa kuliko SA tukizingatia total capacity sizingumzii average capacityHawashangai shoga ndio washangae ukimwi?
Ni za moto kivipi mkuu ebu fafanuaPisi za kizansi ni za moto hatari , hata wewe unaweza upata tu huo ukimwi na usiwaze ikikunasa moja wapo.
Uliwaonaje lakini mboni km unanipa mashaka na jinsia yako?Halafu ni magovi.
Ni wazuri na wana maumbo mazuriNi za moto kivipi mkuu ebu fafanua
Facebook zimejaa kwakweliNaziona Facebook
Wewe unataka kujua nini kwani maana hapo najua ushahamia kwenye ngonoNi za moto kivipi mkuu ebu fafanua
Yaap hata ifanywe nini. South itaendela ku lead , matter of fact ndio inaongoza dunian to date.Nimekupa kwa uchache tu huko nilipotaja hawashangaani eti fulani ana Ukimwi wao ni jambo la kawaida km ilivyo Maralia au Homa ya Mafua sio kwamba wanatishika maana wanaona ni jambo la kawaida fanya suu ARV wasipewe ndio utajua SA ina idadi kubwa au huku ndio tuna idadi kubwa