Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Kwani ARV za SA na za huku tofauti yake nini? Au kule wanapewa na misosi na matunda ila huku unapewa dawa tu msosi na matunda utajijua mwenyewe ndio unavyomaanisha? Emu acheni hizo SA kwetu kwenye idadi tumewazidi
Je wajua kuwa kieneo south Africa ni kubwa kuliko sisi?

So inawezekana pia hata kwa idadi ya waathirika wakatuzidi
 
Kuna takwimu nilisoma miaka ya nyuma wanasema katika kila wasouthafrika watano watatu wana ukimwi.
 
Kule ngono sio jambo kuzungushana.Utandawazi umepitiliza kuna siku nilipita shule ya msingi nikakuta kuna sehemu wameweka box la condom yani wanafunzi wamsingi wanashauliwa kujikinga
Aisee!! 👿 kuna ukweli hapa au tumepigwa za uso??
 
Umesoma hadi mwisho?
 
Za ndaani kbsa ni kuwa kipindi cha Apartheid,weusi walipigwa sana sindano za mdudu,ndio maana takwimu hizo ziko kwa waafrika weusi tu,wazungu wenye mdudu ni negligbly small au hakuna
Kila kitu mnawasingizia wazungu, Hujawahi kuona mziki wa Amapiano?
 
Kwa kifupi tugegedane tuu kumbe ugonjwa wenyewe wala haujatapakaa kivile
 
Mademu wa huko wanaongoza kwa misambwanda hivyo wanaamasisha sana kuzagamuana kisiwa dry chama.
 
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Kila nnayemuona mtaani ana HIV sijui nani mzima dah kwa macho tu najua mtu mwenye HIV
 
Kuna zile ngoma zao wananyanyua mguu mmoja juu ni Hatari na nusu
Wanarusha miguu huku vifua viko wazi matiti nje kabisa halafu wenyewe wala hawashangai.
Imagine kwenye mazingira kama hayo ungewapeleka wale watani zangu wangoni sijui ingekuwaje maana hata kazini wasingekuwa wanaenda(jokes)
 
Wanarusha miguu huku vifua viko wazi matiti nje kabisa halafu wenyewe wala hawashangai.
Imagine kwenye mazingira kama hayo ungewapeleka wale watani zangu wangoni sijui ingekuwaje maana hata kazini wasingekuwa wanaenda(jokes)
Mbona wangoni wapo SA pia?¹ tena huko ndio asili yao kabisa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…