Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

Buda usinitie njaa mzae! Ukipambana wewe ukawa shujaa kama Nyerere kuna tatizo gani? Wote tutanufaika utakuwa umeliokoa taifa!!! Go..Go...Go bruh! The wait is over ukiniita mie mpumbavu wakati sijakushika miguu wala mikono utakuwa unafeli!
 
Wananchi wepi hao ambao wapo tayari kuvunjwa miguu na FFU au mnajitoa akili tu? Watu wanahangaikia mipango ya hela nyie mnalazimishia Agenda ya kisiasa iwe ishu ya wananchi!

Toka we na mkeo na watoto mkalete ukombozi mbona simple tu! Mkiongozwa na kanjanja Mbowe
 
Buda usinitie njaa mzae! Ukipambana wewe ukawa shujaa kama Nyerere kuna tatizo gani? Wote tutanufaika utakuwa umeliokoa taifa!!! Go..Go...Go bruh! The wait is over ukiniita mie mpumbavu wakati sijakushika miguu wala mikono utakuwa unafeli!
Simamia hoja kwa utashi sio kuimbishwa mapambio na kutiwa hofu na viongozi wapumbav

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
kama wewe unaakili hizo za kumwaza mbowe saa zote kama mzee wako basi bora mchakatoka huu uanze hata kesho ili kunusuru kizazi kijacho
 
Simamia hoja kwa utashi sio kuimbishwa mapambio na kutiwa hofu na viongozi wapumbav

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hoja zangu ni kuu 3!

1.Katiba hainilishi
2.Hainilipii kodi
3.Hainivishi

Siku kukiwa na kifungu cha kwamba kila mwaka mpya wa serikali kuna hela naingiziwa kwenye account yangu kama gawio la Mlipakodi hapo ndipo ntakuwa serious nayo! Ila kupambania ndoto za Mbowe na Lissu kwa kuwekwa bond sifanyi huo upuuzi!
 
kama wewe unaakili hizo za kumwaza mbowe saa zote kama mzee wako basi bora mchakatoka huu uanze hata kesho ili kunusuru kizazi kijacho
Kuanza kesho inategemea na wewe na mwenzio behaviourist kutoa mapumbu yenu ndani na wake zenu na watoto mkaandamane! Ishu ni simple tu hakikisheni mna vipaza sauti na bendera na matisheti bila kusahau mabango!

Katiba mpya haitapatikana kwa kulalama hapa jukwaani na kuita watu wapumbavu!
 
Bora hilo umelitambua mzee, wacha wale CHADEMA na BAVICHA waendelee kuwashwa washwa na kuikejeli taasisi ya uraisi wakitegemea kuitwa mashujaa
Ni vizuri ukaweka wazi unachuki binafsi na chadema, haingii akilini taasisi ambayo imejitoa mhanga miongoni mwa raia waoga na kumweleza rais anachofanya si sahihi, ajab we umewapuuza na kuona wanafanya kitendo cha kijinga.
 
Mkuu nchi inapaswa kuendeshwa kwa sheria au kwa matakwa ya mtu Binafsi?
 
Shida Tanzania hatuna umoja wa kitaifa kwenye mambo ya msingi kama suala la sheria kandamizi na katiba. Tunaona watu wachache wanaofaidika na mfumo uliopo wakiendeleza propaganda kutuaminisha eti we,re on the right truck. Mbaya wanatumia kigezo za kusema tutulie tusialibu amani yetu sasa najiuliza toka tumepata uhuru iyo amani imetusaidia nini Kama nchi maana kasi ya maendeleo ni ndogo Sana, hali ya kipato kwa mtu mojammoja ni duni, mfumuko wa bei na dhamani ya fedha yetu haitabiliki, bado hakuna demokrasia ya kweli i.e wananchi hawana nguvu katika kuchagua,kusimamia au kuwajibisha kiongozi waliyemchagua, rushwa na maadili hafifu kwa viongozi
 
Ni vizuri ukaweka wazi unachuki binafsi na chadema, haingii akilini taasisi ambayo imejitoa mhanga miongoni mwa raia waoga na kumweleza rais anachofanya si sahihi, ajab we umewapuuza na kuona wanafanya kitendo cha kijinga.
Siwachukii Chadema mzee kwa sababu sina maslahi yoyote kwao au CCM! Mtu mzima anapofanya mambo kitoto ndio huwa nachukia always!
 
Hizi ni hoja za maslahi ya muda mfupi/ maslahi tumbo.

Ninyi ndio wale wanaonunuliwa kwa vipande 30 vya fedha.

Kama Nyerere angesikiliza maslahi tumbo angekula vipande 30 na kuangalia maslahi ya familia yake.

Wewe ni mzee mpumbav

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu
 
Nini maana ya tatizo ni usimamizi wa katiba ya sasa?

Maana yake ni hii iliyopo ni dhaifu haiwagusi wanaoivunja?

Ingekuwa inatamka na jinsi wasioitii namna gani wanashughulikiwa hata kama ni rais ningeona huja yako ina mashiko

Hoja ni wazi katiba hii ina madhaifu makubwa na Tanzania watu wake wanaanza kutoka kwenye ujinga kuja kwenye elimu

Bila madiliko ya katiba ipo siku hata hako kakazi kako unakojifanya kanakulisha na familia yako hutakafanya. Na utakumbuka na kujilaumu kwa kukumbatia upumbav

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nchi inapaswa kuendeshwa kwa sheria au kwa matakwa ya mtu Binafsi?
Sheria iliowekwa na katiba ndio muongozo wa kuendesha nchi!

Ila kwa mazoea yaliopo ya kuvunja katiba mwarobaini ni kuhakikisha katiba inafuatwakwa usahihi wake! Kile kibwagizo cha sheria ni msumeno kimekuwa ni kama utani kwa wenye madaraka dhidi ya wasio na madaraka! Hili la kwanza.

La pili, Mchakato wa kupata dola umeonekana kama unawa favour watawala kwa kuwa wamekuwa wakirudi madarakani always kwa kitu kinachoonekana ni hila! Hila hizi zimebarikiwa na tume ambayo inatakiwa kuwa tume huru! Kwahio muarobaini ni kuhakikisha tume inafanya kazi yake pasi na kuangalia Chama maana imeonekana ime allie na chama tawala na kuvipuuza vingine! Ndio kiini cha kelele za Mbowe na Lissu kipo hapa kwa kuwa wao wamekuwa wakipiga mieleka kila term ya uchaguzi!

Sasa haya mawili kuyarekebisha ndio inaonekana kutaondosha hizi kelele! Lakini je, gharama za kufanikisha hili mpo tayari kuziingia?
 
Sasa penye dai la msingi kama huna hoja acha mzaha.

Maana haki ikipatikana hata hao unaowazaa kwa kujigamba watanufaika.

Ni vyema, kama unaelewa dai la katiba sio mzaha

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuundwe tume ya kuwawajibisha viongozi wanaokiuka katiba sijajua ni kwa namna gani ila hilo ndio ambalo linatakiwa lifanyike! China wameweka kunyongana ila kibongo bongo hakuna atakaekubali hili!
 
Sijasema hilo dai ni mzaha ila kwa mashiko kwangu naona sitashiriki ila mtakaoshiriki kulifanyia kazi kwa vitendo na kuandamana mtakuwa mmetusaidia wengine!
 
Kuundwe tume ya kuwawajibisha viongozi wanaokiuka katiba sijajua ni kwa namna gani ila hilo ndio ambalo linatakiwa lifanyike! China wameweka kunyongana ila kibongo bongo hakuna atakaekubali hili!
Huo ndio udhaifu tuliouchoka na msingi wa madai ya katiba itakayoliangalia hili dai la msingi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sijasema hilo dai ni mzaha ila kwa mashiko kwangu naona sitashiriki ila mtakaoshiriki kulifanyia kazi kwa vitendo na kuandamana mtakuwa mmetusaidia wengine!
Unajua unaposema chukua familia yako uiingize barabarani hapa kuna mzaha, kuna kukatishana tamaa na nia ya kuvunja moyo.
Mwenyewe unaelewa sana, kauli yako hii inapuuza dai la msingi. Sikukosea kukuambia una mzaha kwenye dai la msingi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hapo hakuna mzaha tatizo mnapenda kutiana moyo kijinga unataka nikuunge mkono ili tuendelee kujaza thread kwa lawama tu juu ya wanaotupinga mzee?

Ishu ni kuandamana pambanieni haki hio ya madai ya msingi ya katiba mpya! But mind you the guy on the throne is not a fool either! Kilichobakia ni kupambana physically maana mlishaongea so if its worth it beba familia yako na watoto muanze mapambano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…