Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Do not worry sometimes the better gain is to loose. Endelea kufanya Novena,Ndio ndio mkuu
Wewe unaandika porojo tuu, Mungu hafanyi kazi kwa namna hiyo naNikikumbuka enzi hizo nilivyokuwa mkatoliki konki kijana wa madhabauni Hadi nikanunua kitabu cha mawaridi ya sala ili kilasiku niwe nasali hizo novena natamani kujitandika makofi, akili ilipofunguka niligundua dini ni ubatili na utapeli mtupu sawa na Imani za kishirikina, wanaosali hizo novena hawana tofauti na wale mapoyoyo wavaa kobasi wanao amini kwenye majini.
NB: Hao jamaa wanaonaje wakiunganisha nguvu kwenye hizo novena wawaombe Hao watakatifu washushe gari za mwendo Kasi za kutisha? Taifa litawaweka kwenye vitabu sahihi vya historia, vinginevyo hawatakuwa na utofauti na wale wafuasi wa kinjekitile walio amini watapambana na mkoloni kwa kutamka Tu maji maji
Wewe ndio Una job description ya mungu?? Kama ya dunia hayajakuzidi kwa nini usiwe unasali hizo novena siku nzima bila kujishughulisha ili hao watakatifu wakushushie baraka ukiwa unatamka tu hizo porojo za novena??!!Wewe unaandika porojo tuu, Mungu hafanyi kazi kwa namna hiyo na
usifananishe Kanisa Katoliki na wengine. Kama uliamua kuiacha Imani
tulia kwani ya dunia yalikuzidi. Hata maandiko yanasema Roho iiradhi
ila mwili ni dhaifu.
Nilikua na kimeo cha Tsh 80m. Nilisali Ile Novena mpaka kitabu kikachakaa. Nilikua nasafiri nacho kitabu kila ninapokwenda. Matokeo sikupelekwa Polisi wala Mahakamani. Siwezi kufafanua zaidi ya hapo( I am sorry)Ilikusaidia nini?
Kulingana na Ukatoliki mapenzi kabla ya ndoa ni uasherati, Kwa nini Mt. Rita alimsikiliza muasherati wa kudumu??Ushuhuda ni mwingi , kama imani yako inaruhusu, fanya View attachment 3139578
Tukiunganisha nguvu kwenye novena tunaweza fanya deni la taifa lifutike πππ, tatizo la afya ya akili ni kubwa sanaNilikua na kimeo cha Tsh 80m. Nilisali Ile Novena mpaka kitabu kikachakaa. Nilikua nasafiri nacho kitabu kila ninapokwenda. Matokeo sikupelekwa Polisi wala Mahakamani. Siwezi kufafanua zaidi ya hapo( I am sorry)
Mkuu sikua na DENI . Haulazimishwi kuamini, wewe amini unacho amini katika Imani yako.Tukiunganisha nguvu kwenye novena tunaweza fanya deni la taifa lifutike πππ, tatizo la afya ya akili ni kubwa sana
Mungu ana saa yakeKuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
Uko sawa hata Mimi ni mkatoriki ila siwezi omba Kwa mtakatifu yoyote nikiwa na maombi yangu privateKuombewa na Watakatifu ni imani ya Wakatoliki, kama vile kuombewa na wachungaji, mitume na manabii kwa Waprotestanti. Kila mtu abaki na imani yake, kila mtu aombewe na anayemuamini πππ
Mkuu kuna Uzi ulileta ulisema wewe ni Msabato ulikua kwenye makambi. Leo umekua Mkatoliki?Uko sawa hata Mimi ni mkatoriki ila siwezi omba Kwa mtakatifu yoyote nikiwa na maombi yangu private
Salini muda wote sio hadi ufikwe na nyakati ngumu ndio usali na zikijibiwa uache, weka utaratibu wa kuwa ni sehemu ya maisha yako usingoje yakufike ndio ukimbilie kusali.Kuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
Kosa mnalofanyaga ndo hili...mnakera... kubalini prayer doesn't work...Kuna watu ma atheists hawasali hata dakika moja ya mwaka na wana mafanikio...prayer ni bahati nasibu kama biko tu...so ikifeli kubalini ikifeli usimlaumu aliyeomba...yesu kasema Chochote muombacho mtapewa mkiamini mmekipata wewe mtu kakosa unaanza kumlaumu we upo akilini mwake au...unajuaje Hana Imani...Ni kweli ukiamini inakua kila kitu kinaanza na imani
naona watu mnatoa ushuda jinsi mizimu ya rita inavyojibu haraka, nawashauri mwaminini Yesu Kristo yeye ndiye mwenye haki miliki ya kuomba chochote kwa MUNGU.
Mnaabudu mizimu ya kizungu iliyoundwa na simentiMimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana
Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena
Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena
Niliogopa vibaya
Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo