Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamethubutu nini, kubwabwaja nakujitafutia umaarufu wa kipuuzi? We ni wale wale, uko wapi huo uthubutu wao? Wale ni kunguru tu wa kuonekana kwenye online Tv hasa Kusaga Tv.Huko mbeya wana udhubutu
Silaha ya kivita ya nini sasa ninyi mapolisi wa Mbeya?Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli
View attachment 2808544
View attachment 2808545
Ni Mjinga tu anayeamini maandamano ni lazima kutembea kwa miguu hadi pahala fulani na kufikisha Ujumbe
Hayo yalikuwa ni mambo ya kizamani wakati teknolojia haikuwa rafiki
Ulaya wanaandamana kwa kutembea kama ishara ya kuonyesha Hisia na hasira kwa mujibu wa Katiba na sheria
Tanzania tunaandamana kufikisha Ujumbe tu kwa sababu bado Hatujastaarabika kuweza kuonyesha Hisia na hasira kwa njia ya maandamano
Niishie hapo!
Usiondoke JF
Sijakuelewa!Ni Mjinga tu anayeamini maandamano ni lazima kutembea kwa miguu hadi pahala fulani na kufikisha Ujumbe
Hayo yalikuwa ni mambo ya kizamani wakati teknolojia haikuwa rafiki
Ulaya wanaandamana kwa kutembea kama ishara ya kuonyesha Hisia na hasira kwa mujibu wa Katiba na sheria
Tanzania tunaandamana kufikisha Ujumbe tu kwa sababu bado Hatujastaarabika kuweza kuonyesha Hisia na hasira kwa njia ya maandamano
Niishie hapo!
Fikra mgando huwa zina threads zake.Jiji la Mbeya ni tulivu na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku wahuni na vibaka kama akina Mdude haieleweki leo wamekwenda kuvutia wapi mibangi yao. Labda tumuulize Erythrocyte labda anaweza kutupatia majibu stahiki.
WE DADA ACHA BANGI ZAKO HAKUNA MAANDAMANO YA KIJINGA MNAWEZA KUYAFANYA YAKAFANIKIWAHii ni kwa sababu lengo la Maandamano hayo la kuijulisha Africa , Dunia na Watanzania waliolala kuhusu dhuluma hiyo ya Bandari za Tanganyika limefanikiwa almost kwa 100%.
Je maana halisi ya maandamano kwenye tafsiri ya kamusi ni ipi hasa ?
Hebu soma hii , View attachment 2808718
Mbeya hii leo shughuli zote zimesimama huku Polisi wakishiriki Maandamono hayo kwa ukamilifu kutoka Mbeya Mjini hadi Kyela.
Hongereni Wazalendo.
Tumeungwa mkono na Polisi kwa kishindo😄😄😄baada ya kumaliza mabangi yenu huko mlikokuwa mmejificha naona mmeanza kutoka mmoja mmoja vichakani? Kwanini hamjaandamana enyi nyumbu ? Mlifikiri nani atawaunga mkono enyi wahuni na wababaishaji? Mmeona aibu mliyoipata na kuivuna? Kwanini mmeishia kukimbia kujificha? Lazima mtambue ya kuwa Watanzania siyo wajinga na manyumbu kama ambavyo ninyi mnaburuzwa na mbowe pale ufipa. Kaeni kwa kutulia na siyo kujazana ujinga wenu tu hapa. Ona sasa hata wewe Erythrocyte umeshindwa kuandamana na kuishia kujificha Desderia Hotel 😄😄😄. Vipi Mdude bado yupo kuvuta mibangi yake?
Afu unaweza kukuta wewe ni mwalimu unalipwa mshahara 500K.😄😄😄baada ya kumaliza mabangi yenu huko mlikokuwa mmejificha naona mmeanza kutoka mmoja mmoja vichakani? Kwanini hamjaandamana enyi nyumbu ? Mlifikiri nani atawaunga mkono enyi wahuni na wababaishaji? Mmeona aibu mliyoipata na kuivuna? Kwanini mmeishia kukimbia kujificha? Lazima mtambue ya kuwa Watanzania siyo wajinga na manyumbu kama ambavyo ninyi mnaburuzwa na mbowe pale ufipa. Kaeni kwa kutulia na siyo kujazana ujinga wenu tu hapa. Ona sasa hata wewe Erythrocyte umeshindwa kuandamana na kuishia kujificha Desderia Hotel 😄😄😄. Vipi Mdude bado yupo kuvuta mibangi yake?