SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe dogo maandamano yalifanyika tena kwa mafanikio makubwa. Wale div IV ya point 32 waliandamana kwa niaba yetu kwani nao ni Wazalendo pia.Mdude Nyagali ametoa Taarifa Kwamba maandamano yao yalizuiwa na Polisi hivyo wako Mahakamani kutafuta Haki
Swali langu kwa Mdude na Mwabukusi ni Hili:
Kwanini hamkuwatangazia Wananchi Kwamba maandamano hayatakuwepo hadi pale mtakapowatangazia tena?
Mlitaka Wananchi waingie barabarani wakakutane na Moto wa Polisi?
Hii Tabia siyo poa mtawaponza watu bure
Jumaa kareem [emoji3]