Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

Kujitoa mhanga sio mchezo wabongo mtabakia kwenye keyboard ujasiri hakuna!
 
punguza jazba chawa
 
Ukinitumia na ka picha roho yangu itafurahi saaaaaana, hizi mbuzi za CCM zimekubali mziki wa wananchi
 
Jiji la Mbeya ni tulivu na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku wahuni na vibaka kama akina Mdude haieleweki leo wamekwenda kuvutia wapi mibangi yao. Labda tumuulize Erythrocyte labda anaweza kutupatia majibu stahiki.
Naionea huruma familia yako kuwa na baba kama wewe inatia kinyaa
 
Nani kadhulumiwa, we ulishawahi kuwa na bandari, mama yako alishawahi kuwa nayo? Hovyo sana nyie msio na majukumu,
 
Tumekuwa tukisikia habari za maandamano leo tarehe 9 mwezi wa 11 mwaka 2023. Wale kina Mwabukusi, Mdude, Slaa wanaandamana wapi. Au wanaandamana na wake zao kwenye maboma yao km walivyoelekezwa na kamishna wa operesheni wa jeshi la polisi Tanzania.
Ushawishi wao ni mkubwa sana mpaka police wameshawishika na kuwaunga mkono,lkn pia posho wamepewa pamoja na kupungiziwa majukumu ya kuwalinda DCs.
 
Jiji la Mbeya ni tulivu na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku wahuni na vibaka kama akina Mdude haieleweki leo wamekwenda kuvutia wapi mibangi yao. Labda tumuulize Erythrocyte labda anaweza kutupatia majibu stahiki.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ we jamaa bwana Dah, so wakina mdude wamekimbia
 
Yaani wewe badala ya kuwa kwenye maandamano kumbe upo JF unaropoka ropoka hovyo?😁😁
 
Jeshi letu la Polisi na vyombo vingine vya Usalama vimeonesha udhaifu mkubwa mno katika azma yao ya kuzuia Maandamano ya Amani kupinga mkataba wa Bandari, kudai Katiba Mpya na Uhuru wa kuishi kwenye maeneo ya asili.

Polisi wamekodoa macho Mbeya huku Dunia nzima watu wameandamana kwa kuvaa nguo maalumu nyeupe zenye ujumbe mahususi!

Ninanaona watu wa kila kada, siasa, dini, wasanii, wasomi wakiandamana USA, Russia, SA, Kenya, Tanzania, UK, Singapore, Ufilipino, Kenya, Israeli, Rwanda, Uganda, Bennin, Ugoslavia, Moldovia, Italia, Zambia, Msumbiji, Namibia, Comoro, Morocco, Dubai, Quatar, Brazili na Sweden. Naendelea kufuatilia. Ujumbe huu utakuwa umeenda mbali sana maana vyombo vya habari vya Kimataifa vinafuatilia kwa karibu sana tukio hili kama DW, VoA, BBC, Al-Jazeera na ABC.

Walioandaa haya Maandamano pokeeni maua yenu. Hii ni akili kubwa mno.
 
Picha tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…