Mdude Nyagali ametoa Taarifa Kwamba maandamano yao yalizuiwa na Polisi hivyo wako Mahakamani kutafuta Haki
Swali langu kwa Mdude na Mwabukusi ni Hili:
Kwanini hamkuwatangazia Wananchi Kwamba maandamano hayatakuwepo hadi pale mtakapowatangazia tena?
Mlitaka Wananchi waingie barabarani wakakutane na Moto wa Polisi?
Hii Tabia siyo poa mtawaponza watu bure
Jumaa kareem [emoji3]