Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Mwanamke umri ukienda anaweza kuolewa hata na mchina ili apate hifadhi ila dini huwa haibadilishwi mtu akishaiishi muda mrefu kuibadili inakuwa kama kubadili ngozi.

So hao wasikustue hata kwa mwamposa pale wamejaa wavaa mashungi kibao wanasali na kuombewa.
 
Theology ya Kigalatia ngumu sana, inahitaji nguvu nyingi za akili. Theology ya Kobaz ni nyepesi, vijana wa sasa hivi hawataki mambo magumu ya kuchosha akili.
 
Huyo kapata mchumba muislam
 
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Wasichana na wanawake wangapi (unaowajua) wakibadili dini ndiyo unaona ni jambo la kawaida?
 
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!

Mwanamke hana dini wewe! Anafuata anakoolewa. Dada zangu wawili wameolewa na maustadhi wanaswali swala tano fresh tuu. Ila kitimoto wakija kwangu wanakula. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…