Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
HOFU YA MUNGU HESHIMA,UNYENYEKEVU NA UTII KWA WAZAZI HUSIKA.
labda ni kimbola yao huwezi jua mana dunia huwa ina mengi sana na mengi yapo sirini kuyajua au tambua yaitaji kibali cha Mungu tu.Kuna hao lakini kuna wengine unakuta hawana hivyo labda ni kijana mlevi, mwizi anapendwa kuliko wengine hujaona hiyo.
Tabia yake kulingana na mtazamo wa mzazi wake.Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
Mara nyingi si rahisi kusema ni kwa sababu ya pesa, tabia au mafanikio. Wazazi ni binadamu pia, wanaweza kujenga ukaribu wa kihisia na mtoto fulani kutokana na historia ya maisha, mazingira aliyokulia, jinsi alivyokuwa karibu nao au hata namna anavyowahitaji.Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
Mimi hua naona watoto wanaopendwa na wazazi huishia kuwa walevi, watukutu n.k. Maana nafikiri hua wanadekezwa na kupewa kila wanachotakaHauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
Upo sahihi mkuu Kipindi cha ujana nimeishi Temeke Aziz Ally kuna hiyo familia Baba alikuwa mtu wa mfumo Mama ni mtu wa nyumbani wana watoto almost 6 ila kuna huyo mmoja wanamwita Abas Chotta alikuwa jambazi aliyekubuhu mpeleke kituo chochote siku 2 ni nyingi utamkuta kitaani kesharudi alikuwa ni kipenzi cha wazazi sema ndio hivyo Nakumbuka kuna wakati alikiri makosa akawa ustadhi safi akanunuliwa bajaji imuingizie kitu Huwezi amini aliuza ile bajaji kwa bei ya kutupa akarudi upya kwenye wizi kilichomkuta amekua kilema walimsukumia barabarani akagongwa na gari. Wazazi wakaja kufa Anagombea Urithi tu na ndugu zakeKuna hao lakini kuna wengine unakuta hawana hivyo labda ni kijana mlevi, mwizi anapendwa kuliko wengine hujaona hiyo.
Mimi ni mlevi na mama yangu ananipenda kuliko watoto wake wengine 7 hata wao wanajuaHauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
pamoja na ulevi ila huwa una mheshimu huo ndo mzizi/siri wa huo upendo wake kwako.Mimi ni mlevi na mama yangu ananipenda kuliko watoto wake wengine 7 hata wao wanajua
mlevi lakn una dollarMimi ni mlevi na mama yangu ananipenda kuliko watoto wake wengine 7 hata wao wanajua
Uko sahihiMimi hua naona watoto wanaopendwa na wazazi huishia kuwa walevi, watukutu n.k. Maana nafikiri hua wanadekezwa na kupewa kila wanachotaka
Sio kweli toka mdogo tumlevi lakn una dollar
kuwa mlevi halafu huna mia uone
mdogo?Sio kweli toka mdogo tu
Yeah ni kwelipamoja na ulevi ila huwa una mheshimu huo ndo mzizi/siri wa huo upendo wake kwako.
Ni utamaduni wa kawaida kabisa ukishapata kipaira au komunyo kugida mbege kawaidamdogo?
kwamba umeanz kulewa udogoni ? Huku ukiwa na fedha