Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Kama baba mzazi ,mtoto akifanana nawe sura halafu wengine wakawa na sura ambazo huelewi elewi ,unashindwaje kupenda damu yako isiyohitaji uthibitisho wa kitabibu
 
Hauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
Mkuu nakubishia. Kuna litoto la kaka linapendwa sana na mama yake
Lkn
Linavuta bangi,Unga,limepga baba yake mzazi,liliwahi iba mama yake akaenda kulitoa zaidi limewahi kugonga watu Kwa pkpk ni kama makusudi likaua likafungwa miezi6 mama yake alikuwa analia na kuongea mwenye badae akfanya ya kufanya na kulitoa!

Lma visa vingi Mbaya mzee wake kashalilaani laana zote lkn linapendwa na mazaa ake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…