Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Ila usije sema ile kauli ya usioe single mother😂😂
Wewe kama unaoa wewe wachukue tu ila binafsi siwezi jaribu kuingia kwenye huo mtego wa kuoa single mother.
Nna sister yangu ni single mother Tena wakujitakia waliambiana na mwenzie ngoja nibebe mimba ili nione kama hawatokukubari kikamramba jamaa akamkimbia.
Then Leo nimeitwa kwenye kupokea mahari Kwa mtu mwengine aliekuja kumuoa. Aseeh nkakataa nikawaambia nyie endeleeeni tu Mimi siwezi kuja kumuumiza mtu Kwasababu najua huyo jamaa atalia tu iwe isiwe.
Wewe sikukatazi kuoa kama unataka Owa na Wala siwezi kuingilia Wala kuanzisha kampeni hio ila binafsi siwezi kuoa single mother.
 
Tumezaliwa watatu kwetu wa kiume wawili wakike mmoja ambaye ndiyo dadaangu Baba anampenda sana huyu wakike na mama anampenda sana huyu mdogo wangu wanajitahidi za kuficha ila upendo ni upendo tu huwezi kuuficha
 
Dah umebaki pekee yako kaka. Ni kweli upendo huwezi kuuficha hata kidogo.
 
Wewe kama unaona wewe wachukue tu ila binafsi siwezi jaribu kuingia kwenye huo mtego wa kuoa single mother.
Nna sister yangu ni single mother Tena wakujitakia waliambiana na mwenzio ngoja nibebe mimba ili nione kama hawatokukubari kikamramba jamaa akamkimbia.
Then Leo nimeitwa kwenye kupokea mahari Kwa mtu mwengine alikuja kumuoa. Aseeh nkakataa nikawaambia nyie endeleeeni tu Mimi siwezi kuja kumuumiza mtu Kwasababu najua huyo jamaa atalia tu iwe isiwe.
Wewe sikukatazi kuoa kama unataka Owa na Wala siwezi kuingilia Wala kuanzisha kampeni hio ila binafsi siwezi kuoa single mother.
Hujanielewa mimi ndio nimeachana na mwanamke ambaye nimezaa nae kwa makosa yangu, lakini ameolewa na mtu mwingine ila huwa nikimuhitaji na kama kifedha nakuwa vizuri huwa naruka nae.
 
Sio kwamba wanapendwa sana
Mzazi siku zote hupenda mtoto anaeleta maokoto nyumbani
Ila hao mnaosema watukutu, walevi, wezi tunaona wanapendwa na wazazi kwa sababu tunataka wachukiwe
Ila kiuhalisia watoto kama hao jamii imekua ikiwatenga hivyo mzazi ndio pekee anayeweza kumsikiliza na hata ingekua wewe ndio mzazi usingeacha kumsikiliza sababu jamii yote na ndugu huwa inawatenga watu kama hao
Nimekusoma mara kadhaa, una kitu…..!
 
Wakati mwingine Mungu anakupa kibali tu, Mimi nilipata kibali kwa wazazi wote wawili, lakini sikuyachukulia poa mapenzi ya wazazi wangu.
Mwanzoni nilimuona Baba ananipenda na kuniamini japo sikujua sababu, Siku moja kulikuwa na kikao nyumbani na Mimi sikuwepo na hawakutilia maanani kuwa sipo, katikati ya kikao wakagundua kuwa sikuwepo, nikatafutwa kwa marafiki zangu jirani, nikapatikana kikao kikaendelea, Mchango nilioutoa kwenye hicho kikao kilimfanya mzee aende kubadili makaratasi yake ya urithi.
Kama hutojali, kwenu ni wangapi kuzaliwa.
 
Ukishajijua wewe ni fungu la kukosa, simama imara kabisa, jua wataka nini kwenye maisha yako.
Ishi maisha yako
Acha kujipendekeza
Ishi maisha yako.

Hapa issue sio maokoto,
Sio mafanikio,
Sio tabia njema

Huyo anakuwa amechaguliwa
Na mtu huchaguliwa bila sababu

Oa mapema
Pata watoto wako
Jenga nyumba zako
Maisha lazima yaendelee

N.B sisi kina black sheep huwa tunajijua
Naunga mkono hoja.
 
Wewe kama unaoa wewe wachukue tu ila binafsi siwezi jaribu kuingia kwenye huo mtego wa kuoa single mother.
Nna sister yangu ni single mother Tena wakujitakia waliambiana na mwenzie ngoja nibebe mimba ili nione kama hawatokukubari kikamramba jamaa akamkimbia.
Then Leo nimeitwa kwenye kupokea mahari Kwa mtu mwengine aliekuja kumuoa. Aseeh nkakataa nikawaambia nyie endeleeeni tu Mimi siwezi kuja kumuumiza mtu Kwasababu najua huyo jamaa atalia tu iwe isiwe.
Wewe sikukatazi kuoa kama unataka Owa na Wala siwezi kuingilia Wala kuanzisha kampeni hio ila binafsi siwezi kuoa single mother.
Umeona kitu gani kwa sister hadi ukakataa kushiriki hiyo 'jinai'? Ba mtoto bado anastua?
 
Wewe kama unaona wewe wachukue tu ila binafsi siwezi jaribu kuingia kwenye huo mtego wa kuoa single mother.
Nna sister yangu ni single mother Tena wakujitakia waliambiana na mwenzio ngoja nibebe mimba ili nione kama hawatokukubari kikamramba jamaa akamkimbia.
Then Leo nimeitwa kwenye kupokea mahari Kwa mtu mwengine alikuja kumuoa. Aseeh nkakataa nikawaambia nyie endeleeeni tu Mimi siwezi kuja kumuumiza mtu Kwasababu najua huyo jamaa atalia tu iwe isiwe.
Wewe sikukatazi kuoa kama unataka Owa na Wala siwezi kuingilia Wala kuanzisha kampeni hio ila binafsi siwezi kuoa single mother.
Hujanielewa mimi ndio nimeachana na mwanamke ambaye nimezaa nae kwa makosa yangu, lakini ameolewa na mtu mwingine ila huwa nikimuhitaji na kama kifedha nakuwa vizuri huwa naruka nae.
😄
Then akakufungia kioo mazima?
Mchawi fedha tu.. 😄 nikiziipatq simu 1
 
Back
Top Bottom