watoto mayai
Ndio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
watoto mayai
Kwangu haiji kutokea, ubaguzi kwa watoto ni dhambi.Hii ni kwasababu akina baba huwa mnawanyanyapaa watoto wa hivyo hivyo mama inabidi ndio awe faraja kwao.
Hakika. Na hakuna mzazi huwa anakubali hili ila hata watoto wanakuwa wanajua nani anapendwa zaidi.
Hao wapo aise na nimewashuhudia anapewa mtaji let say 10M anakwenda kulewea na kufanyia starehe ikiisha a arudi Tena home bi mdashi anampa Tena nyingineNdio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
Akilia shida tu kidogo bi mkubwa ana haha balaaNdio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
Asante sana, tupo wengi 😀Mpo wangapi..? Hongereni
SafiAsante sana, tupo wengi 😀
Akilia shida tu kidogo bi mkubwa ana haha balaa
Na usimshauri kitu juu ya mwanae huyo hawezi kukuelewa ni hatari sana.Chap tuu, bimkubwa yupo tayari kuuza chochote ili dogo amalize misala yake. 😊
Yaan haka acha tu ni Rohoo kako rohoniiKwamba hadi kamechukua nafasi ya ba mjengo? 😊
WEPESI WA MTOTO TANGU AKIWA MDOGO..Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
😂😂😂😂😂 Usije ukaanza kuchokonoa na kutafuta mambo mkuu. Mimi natanania tu na Wala simaanishi.Lisemwalo lipo😄
Mzee ni kweli, kubagua watoto si Jambo jema.Na mara nyingi matoto matukutu ndio yanapendwa na mama zao.
Tabia mbaya kubagua watoto, iwe kwa mafanikio yao au vinginevyo.
Nilipoteza kazi kwa uzembe, kuondoa mawazo nikajikita kwenye ulevi.🥺
Kipi kilisababisha ubadilike ilhali ulimpenda that much?
Mimi sina mambo mengi nimemuachia Mungu, kikubwa watoto hawana hatia.😂😂😂😂😂 Usije ukaanza kuchokonoa na kutafuta mambo mkuu. Mimi natanania tu na Wala simaanishi.
Kwani umeshamuuliza?Nilipoteza kazi kwa uzembe, kuondoa mawazo nikajikita kwenye ulevi.
Ulevi ukapelekea nikatengana nae.
Mimi sina mambo mengi nimemuachia Mungu, kikubwa watoto hawana hatia.
Mimi ni last born baba alinipenda kuliko mtoto wake yeyoteSawasawa. Wewe ni mtoto wa kwanza labda akaona unapendwa na mzee wako zaidi ndio maana akawapenda hao wengine zaidi.
Nilichelewa mkuu, nimekuja kubadilika kipindi tayari yeye ana ndoa nyingine, nashukuru alikuja kunipa cha kuagana .Kwani umeshamuuliza?
Anhaaa haya sawa ikawe kheri mkuuNilichelewa mkuu, nimekuja kubadilika kipindi tayari yeye ana ndoa nyingine, nashukuru alikuja kunipa cha kuagana .
Ila usije sema ile kauli ya usioe single mother😂😂Anhaaa haya sawa ikawe kheri mkuu