Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Unaset vipi hiyo mkuu?
 
Unaset vipi hiyo mkuu?
Video ikiwa inaplay unabonyeza hapo kwenye circle ya blue basiitapop up kiscreen kidogo kinachoonyesha hiyo video hapo utaendelea tu kufanya mambo yako..
 

Attachments

  • Screenshot_20221221-230412_Video Player.jpg
    55 KB · Views: 28

Jf web naonaga michosho kweli
Sijui kwanini?
 
Kuna wakati hata reviews hazina sana msaada.

Settings na matumizi ya simu yanachangia sana kwenye battery health.
Sisi wa Infinix hatuna tatizo la battery kabisa ,kama sumsung na ujanja wao wanashindwa kumanage chaji tu huo si ujinga sasa [emoji23]
 
Sisi wa Infinix hatuna tatizo la battery kabisa ,kama sumsung na ujanja wao wanashindwa kumanage chaji tu huo si ujinga sasa [emoji23]

Mkuu Hii ni sawa na mtumiaji wa virtz kujisifu eti virtz nibora zaidi sababu inakaa sana na mafuta kuliko vogue

High tech ina consume zaidi umeme kuliko low tech....... simple logic

Zipo low budget phone za Samsung zinakaa na chaji kama akina Tecno and the co
 
Bado ujui samsung wewe unyama ni mwingi mno sio A wala s wala note pote ni unyama tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kati ya Galaxy S8 na A30 lipi chaguo sahihi.

Muhimu: kioo kikubwa, AMOLED display, betri kubwa, camera kali, durability..
 
Ukiacha display Samsung haijawahi kunishawishi kuvutiwa nayo hata siku moja
 
Iyo ngoma kali sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…