Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Huyo hana uspy wowote sema ni mshauri mzuri wa jiwe,Ndio aliyemshauri jiwe afukuze madereva wa darasa la saba,wenye vyeti feki ili wachukue mishahara yao wanunulie ndege,akamwambia jiwe akinunua ndege atapata sifa sana.Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Ulishawahi kuona kiinglishi chake wakati anafanya kazi chemba moja ya Sheria, kuna document iliwahi wekwa humu itafute upate uhondo.Hoyo mama namkubali sana.
Kwanza ni mzuri halafu hana dharau na mtu zaidi ya uadilifu wake na kufanya kazi kitaaluma bila maneno mengi.
Angefaa kuwa Makamu wa Rais 2025 endapo CCM itarudi madarakani kwa kumsimamisha Mzanzibari.
Anafaa sana kuwa waziri.
Chapa kazi bila kuchoka mama ,mh.Rais amekuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa sana tu na nitazingatiaKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Kwambaaaaa kichwa chake kinapitisha epepoSisi tunaemjua kwa undani zaidi tunasema kwamba rangi yake ndiyo ngao yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi!Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
.....Boonge la dada la kipare.
Nafikiri hili ndio muhimu zaidi. Mengine ni ujinga tu.Kikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Ulishawahi kuona kiinglishi chake wakati anafanya kazi chemba moja ya Sheria, kuna document iliwahi wekwa humu itafute upate uhondo.
Imebidi niifuteKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Ila huko ilikoenda haijafutwa..Imebidi niifute
Mkuu naumbuka nilionana nae pale peacock hotel kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja baada ya kifo cha Regia Mtema hakika kwenye hadhara ile nilipata masoneno sana ya moyo kiasi cha kujuta kuwa pale..Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Wewe huyo siyo mpare ni mtoto wa PM mstaafu mwenye rangi ya mtumeBoonge la dada la kipare.
Wewe huyo siyo mpare ni mtoto wa PM mstaafu mwenye rangi ya mtume
Vingine havifai kujadili hapa... WanachunguliaView attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!