Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Feminism inamtaka mwanaume aendelee kutoa traditional sacrifices, at the time apoteze traditional benefits zote zinazokuja na sacrifices anazotoa.Hawataki kuwapikia π€£
Jiulize, kwanini waanzishe familia zingibe na wamekimbia familia?Siku hizi kwenye magroup ya wanawake,
Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto,
Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko.
Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,??
Au ndo kuchokana??
Hapana aiseeee...π π π π
Subiri subiri kidogo π
Sio kukimbia..MKE
Mwanamke anataka simu nzuri Iphone 15..........
Anataka mafuta ya mwilini kuanzia laki Moja......
Kusuka kuanzia 50k........
Kuvaa vizuri
Kula vizuri
Outing za maana.
Pesa ya matumizi.
Bado kusaidia wazazi wa mkeπ
WATOTO
Watoto wavae vizuri kwa ajili maonyesho mtandaoni.
Kushindana na kina Zuchu.
Ada
Chakula kizuri.
MUME
Kodi
Mafuta ya Gari/Nauli
Gesi
Umeme
Maji
King'amuzi
Shopping ya Chakula
Vocha
Kuvaa
Kuhonga
Kusaidia Familia yake
Kwa nini wasikimbie π π π π π π
Ila mna majukumu jamaniSio kukimbia..
Wanaacha ndala
Sipendagi sana kuacha ndala lakini sina jinsi.Wanaume wanaacha ndala mapemaaaaaa kabisaaaa kama treni la jitu bandia kule sportybet
Kuna Wanaume Hadi huwa wanataka kulia π π πWanataka mambo makubwa π€£
Hapo kitandani ndo mi nataka sasaIla mna majukumu jamani
Hadi huruma ujue π π π π
Bado tena kumridhisha kunako kitandani.
Hizo Nguvu mnatoa wapi?
π π π π
Kama mwanaume anatimiza majukumu yake ipasavyo,sidhani kama kutakuwa na kelele na dharauMakelele yakizidi na dharau wanaume wengi hushindwa kuhimili hilo
Kitandani kunakuwa kuzuri endapo umenipa vyote ninavyotaka πHapo kitandani ndo mi nataka sasa
Hii ni sahihi kabisaSABABU AMBAZO LABDA ZINASABABISHA WANAUME (HUSUSAN VIJANA) KUKIMBIA FAMILIA ZAO, MKE NA MTOTO/WATOTO
Hii ni mada .
Sababu nyingine za ziada, ni pamoja na uchumi dhaifu, na migogoro ya chuki kati ya familia, na kadhalika.
ASIPOMLETA AKAKAA NAE???Siwezi acha mtoto mwenye damu yangu akateseka , haijalishi nimegombana vipi na mama yake , akitaka nishughulike na mwanangu amlete tu