min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Anajimudu huyoASIPOMLETA AKAKAA NAE???
Anajimudu huyoASIPOMLETA AKAKAA NAE???
Kuliko aanzishe familia kwanini asijipange au aoe mtu wa level yake ambae hana gharamaMKE
Mwanamke anataka simu nzuri Iphone 15..........
Anataka mafuta ya mwilini kuanzia laki Moja......
Kusuka kuanzia 50k........
Kuvaa vizuri
Kula vizuri
Outing za maana.
Pesa ya matumizi.
Bado kusaidia wazazi wa mke😜
WATOTO
Watoto wavae vizuri kwa ajili maonyesho mtandaoni.
Kushindana na kina Zuchu.
Ada
Chakula kizuri.
MUME
Kodi
Mafuta ya Gari/Nauli
Gesi
Umeme
Maji
King'amuzi
Shopping ya Chakula
Vocha
Kuvaa
Pombe
Kuhonga
Kusaidia Familia yake
Kwa nini wasikimbie 😅😅😅😅😅😅
Inawezekana. Vipi kama Mwanamke alimkubali Mwanaume kama last option?. Na kwamba hakuwa chaguo lake la kwanza kihisia?. Hapo hata Mwanaume ajipinde vipi kimajukumu lazima atadharauliwa tu. Ataonekana ni kichefuchefu tu🤣🤣🤣🤣🤣Kama mwanaume anatimiza majukumu yake ipasavyo,sidhani kama kutakuwa na kelele na dharau
Hili ni wazo zuri sana.Kuliko aanzishe familia kwanini asijipange au aoe mtu wa level yake ambae hana gharama
Unaweza kuoa mwanamke akawa ndo mchawi wa kukurudisha nyumaNibaki kusoma comments tu za wadau,ila min -me una hoja hapo juu.
Ila kimsingi CHANZO KIKUBWA CHA UMASIKINI KWASASA KWA MWANAUME NI AINA YA WANAWAKE WALIOJAA LEO HII KILA KONA. kijana ukjichanganya kuoa kichwa kichwa imekula kwako.
Sikuwahigi kuwa balanced financially like nilivyo Leo. Family is a good thing but be very very careful kuhusu nani unataka kuanzisha nae familia inaweza kkawa ndio kaburi lako kwa kila kitu
Mkuu hawa wanawake wana matatizo mengi sana. Ukiwasikiliza bila kusikia story ya mwanaume nakwambia watakupotosha sana. Utawaona wanaume wenzako ni wabaya na mashetani kabisa.Hao ni wavulana sio wanaume,kuna tofauti kubwa hapo,
Pia uvulana na uanaume haupimwi kwa umri wa muhusika bali kwa responsibility and wisdom of a mature man,
Mwanaume anaye jielewa hawezi kuwatelekeza watoto wake kisa Mwanamke aliyenae,
Unaweza kumuacha Mwanamke ila sio watoto wako,wanao utawahudumia hata kama hauishi na huyo Mwanamke,
Ni kweli kuna wanawake hua wanawakera wanaume zao mpaka kuichukia familia yao But huwezi kuwatupa wanao kisa mwanamke uliyekutana nae tu ukubwani,Damu ni nzito kuliko maji,matatizo hayakimbiwi bali hutatuliwa.
Robert Heriel Mtibeli anasema Ukishamdhulum Mwanaume Mamlaka yake na Heshima yake basi usitafute Huruma kwa yatakayokukuta.Siku hizi kwenye magroup ya wanawake,
Wanalalamika sana wanaume kuwa achia jqwatoto,
Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko.
Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,??
Au ndo ??
Aking'ang'ania kukaa nae?Siwezi acha mtoto mwenye damu yangu akateseka , haijalishi nimegombana vipi na mama yake , akitaka nishughulike na mwanangu amlete tu
Nyie kwanini msifanye kazi ili muweze kumudu hizo gharama za level zenu. Badala yake mnafikiri mahusiano au ndoa ni njia ya kumbebesha mwanaune hizo gharama?Kuliko aanzishe familia kwanini asijipange au aoe mtu wa level yake ambae hana gharama
Anajimudu bwasheeAking'ang'ania kukaa nae?
Ahahahhahahah basi utakua unanikatili sana...Kitandani kunakuwa kuzuri endapo umenipa vyote ninavyotaka 😜
Ila ukija na hadithi nyingi.
Utakuta watu wamechoka 😜
Sisi ndo tunawafata kuwaoa au ni nyie mnatufata kabla hatujakamilisha mipango yetu ya maisha????Nyie kwanini msifanye kazi ili muweze kumudu hizo gharama za level zenu. Badala yake mnafikiri mahusiano au ndoa ni njia ya kumbebesha mwanaune hizo gharama?
Yaani level ya gharama za maisha yako zigharamiwe na mtu mwingine. Very stupidly argument