Nini kinasababisha wanaume kukimbia familia zao?

Kuliko aanzishe familia kwanini asijipange au aoe mtu wa level yake ambae hana gharama
 
Kama mwanaume anatimiza majukumu yake ipasavyo,sidhani kama kutakuwa na kelele na dharau
Inawezekana. Vipi kama Mwanamke alimkubali Mwanaume kama last option?. Na kwamba hakuwa chaguo lake la kwanza kihisia?. Hapo hata Mwanaume ajipinde vipi kimajukumu lazima atadharauliwa tu. Ataonekana ni kichefuchefu tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nibaki kusoma comments tu za wadau,ila min -me una hoja hapo juu.
Ila kimsingi CHANZO KIKUBWA CHA UMASIKINI KWASASA KWA MWANAUME NI AINA YA WANAWAKE WALIOJAA LEO HII KILA KONA. kijana ukjichanganya kuoa kichwa kichwa imekula kwako.
Sikuwahigi kuwa balanced financially like nilivyo Leo. Family is a good thing but be very very careful kuhusu nani unataka kuanzisha nae familia inaweza kkawa ndio kaburi lako kwa kila kitu
 
Unaweza kuoa mwanamke akawa ndo mchawi wa kukurudisha nyuma
 
Mkuu hawa wanawake wana matatizo mengi sana. Ukiwasikiliza bila kusikia story ya mwanaume nakwambia watakupotosha sana. Utawaona wanaume wenzako ni wabaya na mashetani kabisa.

Mara nyingi kukiwa na mgogoro baina ya wazazi kuna vimambo mambo mwanamke anafanya ili mtoto asimame upande wake kwenye huo ugomvi na mzazi mwenzie. Hata mkiachana wanawake wengi wana tabia ya kukata connection ya mtoto na baba ake kwa makusudi tu ili aweze ku-prove point kwamba anaweza kulea peke yake.
 
Siku hizi kwenye magroup ya wanawake,
Wanalalamika sana wanaume kuwa achia jqwatoto,
Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko.
Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,??
Au ndo ??
Robert Heriel Mtibeli anasema Ukishamdhulum Mwanaume Mamlaka yake na Heshima yake basi usitafute Huruma kwa yatakayokukuta.

Mwanaume hatojali tena ameacha nyumba, hatajali tena kwamba wewe ni Mzuri au Msomi, hatojali tena kama Una watoto au la!

Hii ni kwa Mujibu wa Watibeli.

Sisi Wayebusi hatukubaliani na msimango huo.
 
Kuliko aanzishe familia kwanini asijipange au aoe mtu wa level yake ambae hana gharama
Nyie kwanini msifanye kazi ili muweze kumudu hizo gharama za level zenu. Badala yake mnafikiri mahusiano au ndoa ni njia ya kumbebesha mwanaune hizo gharama?

Yaani level ya gharama za maisha yako zigharamiwe na mtu mwingine. Very stupidly argument
 
Nyie kwanini msifanye kazi ili muweze kumudu hizo gharama za level zenu. Badala yake mnafikiri mahusiano au ndoa ni njia ya kumbebesha mwanaune hizo gharama?

Yaani level ya gharama za maisha yako zigharamiwe na mtu mwingine. Very stupidly argument
Sisi ndo tunawafata kuwaoa au ni nyie mnatufata kabla hatujakamilisha mipango yetu ya maisha????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…