Nini kinasababisha wanaume kukimbia familia zao?

Kwa kuwa umempenda pambana Mzee 😛😂😂😂
 
Tutapigana aiseeee
Humo ndani hakutokalika nakwambia tena yaaan mi ninyime chakula, niseme, nifanye vyote ila likija suara la usiku ukaanza kuleta habari sizo wallah tutauwana aiseeee

Hi seriously kuna mtu nilimng'ata mpaka sikio ujue
Hivi hizo hamu mnatoaga wapi 😅😅😅😅
Mbona mnapenda sana hicho kichakula jamani.
Sisi Huwa tunakinai hatari 😝
 
Aisee kweli kabisa mie nashindwa kuelewa wanawake...kwa nini umeolewa kama hutaki kutwombering? Baki single usisumbue watu
 
Hivi hizo hamu mnatoaga wapi 😅😅😅😅
Mbona mnapenda sana hicho kichakula jamani.
Sisi Huwa tunakinai hatari 😝
Aiseeee skia kwanza tunakula...
Sperm zinazalishwa...
Kingine ipo hvi hata nyie mnapenda tena nyie mkizoeshwa ndio mnasumbua sana aiseee sijapata kuona watu wanapenda kamchezo kama nyie aiseeee...

Kuna kipindi nilikua mpaka mbavu zinauma lakini mtu haelew
 
😅😅😅😅
Hata mimi Kuna kipindi Huwa nataka sana tu.

Ila Kuna wakati Huwa nachoka sitaki kuona kirungu chochote kikinisogelea 😝😅
 
Kulalamikiwa kila siku bila kupatiwa peace of mind nalo ni tatizo, japo sio sababu ya msingi ya mwanaume kutakiwa kuondoka but inategemea sana uvumilivu wa mwanaume husika.
 
😅😅😅😅
Hata mimi Kuna kipindi Huwa nataka sana tu.

Ila Kuna wakati Huwa nachoka sitaki kuona kirungu chochote kikinisogelea 😝😅
Mmmmh ukweli unao mwenyew ila kusema unachoka uwongo...
Unaanzaje kuchoka wakati ww kazi yako kubwa ni ,:£-£-£6363-£+£(#!:;*!

Mwisho nile ban hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…