Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Chama cha makanikia hakiishi vituko ,yaani wameamua kuwasukumizia Hussein Mwinyi Zanzibar kama walivyofanya kwa Jpm 2015.
 
Zanzibar ni VISIWA.....

Wataalamu wa ANTHROPOLOGY pasi na Shaka waligundua kuwa BINADAMU ameanza kuishi katikati ya MABARA....

Kidogokidogo wakasambaa na kutaka KUVUA kumbuka huko nyuma walikuwa wanakaa mapangoni,wanawinda,kulima na kurina asali.

Wakazi wa Zanzibar MAJORITY wana asili ya TANGANYIKA,MSUMBIJI NA PWANI YA KENYA,WAKO KUTOKA MALAWI NA HATA KONGO.

Nenda Makunduchi watu wa sherehe za"MWAKAKOGWA" halafu waulize kina mh.Shamsi Vuai Nahodha JUU ya asili ya mababu zao,hakika watakujibu kuwa BABU ZAO walitokea eneo linaloitwa KUNDUCHI.....

Pale kunduchi,Ununio MPAKA Bagamoyo ndiko safari ya kuvielekea visiwa vya zanzibar ILIANZA.
Ilihusisha watu wa MKURANGA MPAKA RUFIJI.

Nenda Lindi na mtwara halafu Muulize yoyote akutamkie neno "MTU" hakika utajiona umekutana na MPEMBA wa Chokocho ama Ziwani.

Dhana ya KUMUONA DR.HUSSEIN MWINYI kuwa ni "mhadimu" ni dhana koko,mfu,na isiyo na kushika.
 
Duh! Una heri Maalim maana kampeni zako zitakuwa rahisi sana. wajumbe wa kamati kuu wote 35 hawajampigia kura Husseni Mwinyi,

Wajumbe waliopiga kura ni 164
Shamsi Nahodha = kura 16
Khalidi = kura 19
Hussein Mwinyi = kura 129 (zote zimetoka bara) manina nyie wazenji mnaliwa nyuma mkimchagua huyo mzaramo. Achaneni naye mpeni kura Maalim ambaye miaka yote amekuwa akiwapigania.
 
Nina sikitika sana namna wabara wanavyowachagulia wazanzibar kiongozi/mgombea U-rais , tena mgombea Mwenyewe ni Mzaramo kwa Asili, okay , wacha wapate wanachokitaka.


Ile stori yako ya kuliwa kimasihara Ni n nyoko
 
Nashukuru unajua ya kwamba "mgombea wa CCM" ndiye atakayekuwa Rais wa Zanzibar.

Nasikia wabunge wa bara ni 129, na wazanzibari ni 35. Kisha Mwinyi kapata kura129! Hapo watu wataacha kulia?
 
Tanganyika inatawala zanziba kwa hisani ya uingereza!!!wazungu hawataki zanzibar iwe huru itadakwa na Russia!!
 
Haki iliminywa. Ni wengi tunalia mioyoni, japo usoni tunalazimika kuonesha tabasamu.
Wewe utaendelea kuwa mtumwa na utautithisha kwenye vizazi vyako...
Kama unalazimishwa na wewe unakubali.
 
Hahahaha nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali
Na Bado ona hapa chini hii mechi Bado mbichi kabsaa View attachment 1503888View attachment 1503889

Ile CCM ilishajifia zamani. Wanaojiaminisha wao ni wanachama wa kudumu wa CCM wajue hiyo ni dhana ya kufikirika na kwamba wanaishi kwenye ulimwengu wa ndoto. CCM ya sasa ni chama kingine kabisa kinachoegemea nguzo imara zilizosukwa na CHADEMA ili kusimamia ajenda ya JPM. Makada waendeleze mapambio tu.

Inafikirisha. Kwanza Katibu Mkuu katoka CUF moja kwa moja. Mwenezi katoka katika harakati. Akina Kinana wanapigishwa magoti kuomba radhi. Tulitarajia mzee wa ubatizo wa moto aje kututangazia mwingine wa radi kabisa lakini kimyaaa. Bila shaka CHADEMA itaendelea kuwa chuo na mada wake kushika hatamu kinyemela!
 
Hapo sasa nimeelewa kwanini alikuwa analia.

Ahsante sana mkuu
Chaguo la Wazanzibari lilikuwa Dr Khalid..

Sasa tusubiri tuone he yatatokea kama yaliyotokea 2015..je atatokea Jecha Mwengine??😊
 
Zito Kabwe anamfuatilia kwa sababu anaona uchungu yeye majungu yake na Propaganda zimemponza. Zito Kabwe huwezi kuwa chochote Tanzania kwa sababu moyo wako upo kama sura yako.
Kilowaloza eti membe ndoye mshika uskani upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…