Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Nina sikitika sana namna wabara wanavyowachagulia wazanzibar kiongozi/mgombea U-rais , tena mgombea Mwenyewe ni Mzaramo kwa Asili, okay , wacha wapate wanachokitaka.
Kumbe mgombea wa ccm akichaguliwa tu tayari ni rais.. Safi sana kwakujua hilo

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hapo analia kwa uchungu. Angalia picha kwa umakini. After all mwanaume wa kibongo akiwa na furaha hurukaruka na kushangilia. Kamwe hawezi kulia
 
Mkuu furaha ikizidi sana unaweza kulia. Inawezekana wamefurahi Msgufuli kupitishwa tena! Inawezekana pia wanafuraha mz'bar halisi Dr Mwinyi anepitishwa
 
 
Wapinzani huwa mtaji kama huu hawautumii vizuri. Jana Jiwe alisema bila ya CCM hakuna muungano. Huo ni upotoshaji. Sijasikia ACT wala CHADEMA wakikanusha! Kauli kama hizi zinahitaji counterattack. Upinzani wamelala...
 
Wapinzani huwa mtaji kama huu hawautumii vizuri. Jana Jiwe alisema bila ya CCM hakuna muungano. Huo ni upotoshaji. Sijasikia ACT wala CHADEMA wakikanusha! Kauli kama hizi zinahitaji counterattack. Upinzani wamelala...
Hatuna utaratibu wa kumzunguzia mtu ambaye hana hoja ni kumpaisha. Eti ionekane mwenyekiti brother Mbowe kamjibu pombe, ni ujinga maana hakuna jipya itakuwa kumtukuza au kumpaumaarufu tu asiokuwa nao
 
Zanzibar kuchaguliwa mgombea na Wa-bara
Hiyo sio kweli wagombea watano waliletwa kutoka zanzibar hakuna mtu hata mmoja aliyeongezwa kwa hiyo amechaguliwa mzanzibari kama Mwinyi walikuwa hawamtaki wasingempitisha kwenye kundi wangemchinjia huko huko zenji kama walivyomfanyia karume na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…