Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Viongozi wa Zanzibar hawamtaki mwinyi lkn Tanganyika wamelazimisha
Ona hii attachment, wazanzibari wananyanyaswa sana sana
Acha umbeya, mbona kwenye kikao cha wazenji watupu walimpendekeza katika tano bora
 
Acha waendelee kutawaliwa
Kuna tofauti gani na wewe unavyotawaliwa?

Naomba tu usinibamize kichwa ukutani, kwani hili ni swali nililoshindwa kujizuia kukuuliza.

Itapendeza sana ukinijibu kwa upole.

Natanguliza ahsante mkuu 'kichomiz'.
 
Wajumbe wa zanzibar wote hawajampa kura Mwinyi Lakini kashinda

Dodoma Hoyeeeeee
Aaanh, wacha Bhwanaaah!

Inawezekana hiyo? Ni swali tu mkuu 'Phillemon Mikael'..., wait a minute, 'Phillemon Mikael'? wa enzi zile za heshima kubwa?

Sina shaka na uyaandikayo, ni kuuliza kwa kushangaa tu! Tuna 'regime' ya ajabu sana hii!

Hivi kwani WaZanzibari wakikataa itakuwaje?
 
Na vipi Watanganyika? Wao walitokea wapi? Historia ya binadamu imeanza na Adamu aliyeangukia Yemen baada ya visa vya shetani na baadae kuishia Misri. Jee Watanganyika walitokea Yemen au Misri ya kale? Siku zote ukimnyooshea mwinzio kidole kimoja, vile vinne vinaelekea kwako. Popote walipotokea Wazanzibari wanabakia kuwa Wazanzibari.
 
Tena mzaramo wa mkuranga
Kwani Mzaramo sio Binaadamu, mbona mu Wabaguzi sana?.

Alafu Mtaonekana mkijinadi kupinga ubaguzi wa wa Wazungu dhidi ya Weusi ili hali nyinyi wenyewe kwenu kuishi bila kubaguana ni mtihani.
 
Kwa mara ya kwanza NEC badala ya kupelekea majina Matatu mkutano mkuuu
Imeprleka moja la Hussein tu
 
Mzaramo ndiyo akawaongoze wapemba na wazanzibar? Kwani kwao hamna mwenye uwezo wa kuongoza?
Kwani Mzaramo sio Binaadamu, mbona mu Wabaguzi sana?.

Alafu Mtaonekana mkijinadi kupinga ubaguzi wa wa Wazungu dhidi ya Weusi ili hali nyinyi wenyewe kwenu kuishi bila kubaguana ni mtihani.
 
Kwahiyo Hussein Mwinyi ni mgombea wa Tanganyika Zanzibar?
 
Hawa walishaambiwa mgombea yoyote ni kwa matakwa ya Mwenyekiti wa chama atakavyoamka siku hiyo na siyo suala la kura zao, kura ni maigizo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…