Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

NDOA KWA MWANAUME NI UPUUZI USHAMBA USENGEREMA USHENZI USHETANI UTAPELI NA KUPOTEZA MUDA...
Kijana usimuache mpumbavu akudhulumu mali kwa kigezo cha talaka na sheria... Akikushinda mahakamani mtoe roho maana anachofanya kwako ni kukutoa roho huku unaishi...
Halafu hiyo kesi unashinda kitendo cha yeye kuchukua watoto na kukimbia kwenda kupanga maana yake amevunja ndoa bila taratibu, wewe hujamfukuza... Hiyo case naona ina gaps nyingi za wewe kushinda...
Ila akitumia njia za dhuluma kukushinda mpeleke mortuary...
 
Sasa ndiye uwende mahakamani ukatoa hayo maelezo ili ukajipiganie!
 
Thanks chief. Kwahiyo kumbe wakili anaweza enda kwa niaba yako ?
 
Pole kamanda. Piga moyo Konde. Kisha songa Mbele
 
Ni sahihi unachokisema. Ningekua mshirikina ningemroga
 
Umenikumbusha mbali sana, nilizaa na mwanamke, nikaamua kuishi naye bila kufunga ndoa, (sukutaka kufunga ndoa haraka haraka) nilimtambulisha kwetu na Kwao nilienda kujitambulisha nikaishia hapo.
Miaka kadhaa baadaye nikagundua Ana-date x wake, nikathibitisha pasiposhaka kwamba ameliwa siku tatu mfululizo! (Aliniaga anakwenda kusalimia Msiba wa shangazi yake, kumbe anaenda kuliwa na jamaa yake wa zamani)

Nilimuuliza baada ya kujiridhisha na ushenzi aliofanya, akawa mbogo hataki kuulizwa chochote, nikaamua kufanya maamuzi magumu, nikamwambia NITALEA MTOTO na wewe uendelee na mahusiano yako, akanijibu sheets za maana! Nikalazimika kujizuia kumpiga ili nisiingie kwenye kesi isiyo na ulazima!
Nilipomuacha cha kwanza akakimbilia mahakamani, alipoulizwa anataka nini akasema anataka tugawane mali ili akaendelee na maisha yake, nilipoitwa nilienda, nikawaambia sijawahi kumuoa huyo mwanamke zaidi ya Kazaa naye, hivyo nitawajibika kmtunza mtoto tu.
Alipotakiwa kuthibitisha mimi kuwa mume wake akasema tumeishi pamoja zaidi ya miaka 2, nikwaambia sijawahi kuishi naye kwa hata miezi Sita Kwani nilikuwa nafanya kazi mahali tofauti na palipokuwa na makazi!
Baada ya purukushani nyingi na matusi juu, hatimaye nikapewa jukumu la kutunza mtoto!

Kwa kuwa Ali kuwa jeuri, mtoto alikuwa na miaka 9 nikaiomba mahakama inipe idhini ya kuishi na mtoto, nikakubaliwa!

Ameridi mwaka Jana December, kuniomba msamaha na kutaka turudiane, nikamwambia asithubutu kuniletea ushenzi, nisijeondoka na shingo yake! Anajiliza liza mpaka leo kutaka turudiane!
 
Ila uende sasa ili kuclear the air...huyo wifi yangu huenda hajasema kuhusu hayo ya mkopo..nenda ama lah weka mwakilishi mahakama za mwanzo sasa hivi Sheria inaruhusu kuweka mwakilishi,Fanya hivyo Kama ratiba yako inakubana...
Ahsante. Mwakilishi una maana ya wakili si ndio mkuu?
 
Anapata wapi ujasiri wa kurudi tena?
 
Kama ulivyosoma kwenye samansi, mahakama inaweza kusikiliza kesi bila wewe kuwepo. Hii inamaanisha kuwa maamuzi yote yatafanywa kwa kuzingatia ushahidi uliotolewa na mke wako tu. Ikiwa mahakama itaamua kuwa mke wako ameshinda kesi, unaweza kuhukumiwa kulipa gharama za kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…