inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Israel Wana cameras,thermals ,wanawasikiliza 24/7..unashangaa Hamas wamepenyajeMainfoma wamewalisha matangopori wana intelijensia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel Wana cameras,thermals ,wanawasikiliza 24/7..unashangaa Hamas wamepenyajeMainfoma wamewalisha matangopori wana intelijensia
Haya, wamerusha wa kuelekezwa. Siku wakirusha wanaotengeneza na wenye uwezo wa kurusha mengi? Sema tu haya yote,yule alojifanya askali police wa dunia nzima,amewadanganya wengi,ila kumbuka kilichompata Osama alipomtembelea! Bahati mbaya wanafanya ujinga wao kuelekeza kwa watu wasio na hatia. Mwanajeshi kamili atakabiliana na jeshi analolitaka,si raia wa kawaida.
Sikujua kama una utoto hivyo ,Hamas sio Chadema Kwa Ccm,kwamba Chadema wakipewa maburubgutu operesheni zinanywea,
Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
Nimeanza kuamini kwamba hawa wayahudi walijua kuhusu operation ya Hamas.Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.
Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.
Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.
Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?
Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Hata mimi nilipata na mshangao sana ,kwamba Israel,usijue ! Kumbe walipata taarifa kutoka kwa ndg yao Alsisi wa Misri ,mkumbuke huyu Alsisi anayo chembe chembe za kiyahudi kutoka kwa mama yake.Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.