Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Kawajibu haswa kuna magorofa zaidi ya 800 yameshafanywa kifusi. Na aliapa kuwa kitachotokea hawatakisahau
Sasa badala apambane kwenye medani ww unashambulia majengo hovyo hovyo tu kwani majengo yana pigana hiyo ni dalili za mtu aliye shindwa.
 
Utajuaje sasa kama jamaa wameruhusu ili wapate sababu ya kuingia Gaza? Hii Dunia haiko kama tunavyoiona. Yale mashambulizi ya September 11 pale marekan unajua watoto wa mjini waliseti wakapata sababu ya kuvamia Iraq Afghanistan nk. Wakati mwingine hiv vyombo vinafanya kaz kinyume. Ingawaje pia kuna kuzidiwa.

Mi naamini ili ijitanue bila kupigiwa kelele lazima wakubali watu wao wauliwe.
Haikuwa intelligence failure bali wameacha iwe hivyo ili wajitanue zaidi
Inafikirisha pia
Sometimes lzm ufikiri nje ya box kwa upana wake 🤔😕
 
Sasa badala apambane kwenye medani ww unashambulia majengo hovyo hovyo tu kwani majengo yana pigana hiyo ni dalili za mtu aliye shindwa.
Israel hawezi kushindwa Hilo nakuhakikishia
Ila acha tuendelee kusubiri hapa ..
 
Uko sahihi Mossad walikua na taarifa zote waliachwa wachozwe ili wapate uhalali ya kuipiga Hammas, Hesbolah na Gaza na wamefanikiwa Gaza itachazwa vibaya siku 5 mpaka 7 zijazo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu anasema hapa mpk sshv Israel haijafanikiwa Chochote🤭

Aisee acha niingie aljazeera
 
Israeli hadharani kabisa wamemkataa Masihi aliyekuja kutangaza amani ulimwenguni.

Sasa tuwasaidie nini.
Binafsi sipendi kabisa vita na vurugu kwakuwa inawaumiza wasio na hatia kabisa wala kuhusika na uhasama wao.

Israeli hawapendi amani, hawapendi kumsikiliza Kristo na wamemkana hadharani kabisa haya ndio matokeo yake.

Sidhani kama hao wanao pigana wameshindwa kuleta amani kwa njia ya maongezi.

Wenyewe wameamua kutumia mabavu na hayo ndio matokeo yake.


Yohana (Joh) 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Peace I leave with you, my peace I give unto you: not as the world giveth, give I unto you. Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.

Hutaki Amani Unataka Vita Basi ni Hakika Utapata Vita.
 
We wenzako wanakufa na kupoteza makazi we wafurahia
Hata bila kupgana wanayapoteza tu.
Acha nao wawaonjesha uchungu wanaopata wajue.
Wanamgambo tu wamewahenyesha hadi wanaomba US awaongezee silaha.
Kweli dunia inaenda kasi
 
Kwani mkuu hii ni mara ya kwanza Israel kupigana na Hamas?
Aliwahi kushindwa?
Maana tunajua kushindwa ni kuondolewa na kufutwa Kwa Israel km wapiganaji waLivyopanga!
 
Watu wanakufa huko we unaleta ushabiki

Una akili timamu kweli?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwahiyo sahivi ndo mmeona watu wanakufa kisa Israel kujibu mashambulizi?
Juzi watu waMefurahi sn humu tuna waangalia tu,wale ndo Wana akili?
Btw mi sio shabiki ...
Na Nina akili zangu timamu...

Kusema acha nione mwisho wake ndo nimeshabikia?
 
Ka
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!
 
Ka

Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!
kaomba mzigo USA.

kuna ambao kapewa leo mwingine unaingia kesho abusui.
 
Ka

Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!
Iran kagoma jmn labda km kageuka sahivi usiku!

Netanyau Yuko fit, kasema huu ni mwanzo
 
Mashoga wamepatikana walizowra jipaka rangi za mdomo eti wao ni super power 😂

Hamasi wanaume aisay yani mpaa Europe na US wanakimbilia kumuwokoa shoga wao 😂
 
AMANI UPENDO na UMOJA ni TUNU Ndugu zangu Watanzania.
Aina yawatu ndio sababu yahii amani tz kama hakutakua namashambuliz kutoka nje yamipaka yanchi bhas tz itakaa nahii aman mpaka mwisho wadunia nahii haijalishi tutanyanyasika kias gan ndan yanchi
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania ardhi ya Ngorongoro aliyoshushiwa baba yetu Adam(A.S).....

Tanzania ni patakatifu zaidi ya Israel na Palestine.....

Waambie Wayahudi na wapalestina kuwa ardhi zao si salama zaidi ya huku atokako Nabii Adam(A.S)... .

Si leo wala kesho ila iko siku vizazi vyao vitafanya EXODUS kurudi Ngorongoro Crater[emoji120]

#Tanzania Pepo Ya Dunia[emoji120]

#Anayetaka Kuuvunja Muungano Wa SMT avunjike mgongo aaamin aaaamin aaaaamin [emoji120][emoji120][emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
Mnaokula cake yanchi mnambwembwe kama umepata kaupenyo kakula kula taratib
 
Israel wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-
1. Nyerere alidramatize kuwa wanajeshi wa Uganda wameivamia Kagera ili amchape Idd Amini.
2. Rais Edogan Tayyip wa Uturuki alidramatize mapinduzi ili amshughulikie mpinzani wake mkuu kisiasa (mmiliki wa Feza Schools) aliyekuwa anamtishia yeye kuipata awamu ya pili.

Hapo Israel imefanikiwa kuipata sababu ya kuichapa Palestine na itachapika kweli kweli.
Nachelea kusema huna akili, taifa la wazayuni uhai wa mtu wao nimuhim kuliko chochote mwaka 2006 waliachilia mateka mia 3 ilikubadilishana nakijana wao mmoja tu, et leo unasema wameamua watu wao zaid ya mia 7 nawanajesh wakiwemo kuuwawa
 
Back
Top Bottom