Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
maoni yangu iwe mvua iwe jua 2025 CCM wanaondoka. Hao Israeli na palestine waendelee tu kunyomana matatizo yetu ni makubwa sana kuliko yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasitishe vita mara moja...Vita sio kitu Cha kuweka ushabiki maandazi,huo mgogoro unawagawa watu katika misingi ya kidini,hivyo kuathiri tafakari sanifu ya nini kifanyike kupata suluhu ya kudumu.
SawasawaJamani tujaribu kuitendea haki elimu tuliopewa na 'KANISA' katika kuchambua mambo, suala hapa sio Gaza itakuwaje baada ya saa 72 bali ni nini kimetokea kwa taifa la MUNGU tunalo liombea kila kukicha, taifa la sita kwa nguvu za kijeshi duniani, la kwanza kupokea msaada wa kijeshi na kiuchumi kutoka Marekani, linaloongoza kwa teknolojia za kiulinzi na kiintelijesia? kumbuka unyama huu umefanywa na kikundi cha magaidi dhidi ya nchi yenye nyuklia. Nadhani kwa sisi tusio na elimu ya 'military science' tuseme tu kweli 'vita ni vita mra' hata Urusi siku hizi wanashambuliwa hadi MSCOW!
Kweli mgogoro huo ni complex sana , Waziri Mkuu wa Israel aliyeuwawa ni Yitzahk Rabin ambaye alikubali kusaini makubaliano na Yasser Arafat yaliyosimamiwa na Rais Clinton wa Marekani !!Nenda kasome mgogoro wa Israel na Palestine vizuri, hata Israel anawajua vizuri hamas na kwa taarifa yako huko zamani zilikuwa ni vurugu za mawe , chupa na manati ila mpaka Sasa ivi Hamas amefikia kwenye kurusha rocket na usisahau Palestine ni landlocked kwa hyo kila siku Hamas anakuwa baadala ya kurudi nyuma na kuendeleza harakati zake, mwaka 1995 walifikia hatua nzuri sana katika ya Palestine na Israel ila kwa interest tu za watu mazungumzo ya Oslo I na
Oslo II yalikwama baada ya waziri mkuu wa Israel kuuliwa, hivyo ujue huu mgogoro ni complex sana, utaifa na rasilimari ndo kila kitu kwa Israel na Palestine
Mkuu ile ilikuwa ni inside Job ya shirika la ujajusi la ndani la Israel inaonekana kupitia mgogoro ule Israel ananufaika sana, kama watu wanaweza kumtoa waziri mkuu kafara unadhani Kuna nini? Israel inajenga makazi mengi sana ya walowez pale, Sasa jiulize kama Yasser Arafat alikubali kwamba kuwe na amani Ina maana kwamba hata wapalestine walishachoka na hali ya kukosa utulivuKweli mgogoro huo ni complex sana , Waziri Mkuu wa Israel aliyeuwawa ni Yitzahk Rabin ambaye alikubali kusaini makubaliano na Yasser Arafat yaliyosimamiwa na Rais Clinton wa Marekani !!
Rabin alisema anataka kuionyesha Dunia kwamba Waisraeli na Wapalestina ni watoto wa Abraham !
Wahafidhina ndani ya Israel walichukizwa sana na kauli ile aliyoitoa Waziri Mkuu wao !!
Kilichofuata God knows !!
Inasemekana aliyemuua alikuwa na matatizo ya akili [emoji849] !
Suluhisho ni mmoja wao aondoke paleVita sio kitu Cha kuweka ushabiki maandazi,huo mgogoro unawagawa watu katika misingi ya kidini,hivyo kuathiri tafakari sanifu ya nini kifanyike kupata suluhu ya kudumu.
Vipi kama ni kama Sept 11?MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.
Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Israel mara nyingi kaonekana mchokozi.Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua
amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Hao wananchi watatafuta mahali pengine ila hapo Gaza ndo ishaondoka hivyoLakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Unadhani ili Israel ijitanue ilipaswa nini kifamyike? Kwa gharama gani?Ndiyo. Bado Ina intelejinsia imara.
Ila kumbuka kuwa hakuna intelejensia yoyote duniani isiyopenyeka!! Shambulio la 9/11 linathibitisha hilo.
Haya wakatafute hiyo Amani tuoneFicha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?
Mkuu ile ilikuwa ni inside Job ya shirika la ujasusi la ndani la Israel inaonekana kupitia mgogoro ule Israel ananufaika sana, kama watu wanaweza kumtoa waziri mkuu kafara unadhani Kuna nini? Israel inajenga makazi mengi sana ya walowez pale, Sasa jiulize kama Yasser Arafat alikubali kwamba kuwe na amani Ina maana kwamba hata wapalestine walishachoka na hali ya kukosa utulivu
We wenzako wanakufa na kupoteza makazi we wafurahiaWakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
Mkuu ile ilikuwa ni inside Job ya shirika la ujasusi la ndani la Israel inaonekana kupitia mgogoro ule Israel ananufaika sana, kama watu wanaweza kumtoa waziri mkuu kafara unadhani Kuna nini? Israel inajenga makazi mengi sana ya walowez pale, Sasa jiulize kama Yasser Arafat alikubali kwamba kuwe na amani Ina maana kwamba hata wapalestine walishachoka na hali ya kukosa utulivu
Mi naamini ili ijitanue bila kupigiwa kelele lazima wakubali watu wao wauliwe.Utajuaje sasa kama jamaa wameruhusu ili wapate sababu ya kuingia Gaza? Hii Dunia haiko kama tunavyoiona. Yale mashambulizi ya September 11 pale marekan unajua watoto wa mjini waliseti wakapata sababu ya kuvamia Iraq Afghanistan nk. Wakati mwingine hiv vyombo vinafanya kaz kinyume. Ingawaje pia kuna kuzidiwa.
Gaza ndo ishaondoka kwa WapalestinaTusubili ndani ya saa 72 zijazo, Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
Uzuri wamelianzisha waoMAONI: Hatutarajii zile kelele za siku zote kwamba fulani anaua watoto na wagonjwa hospitalini.
Hayo maroketi hayana macho bila shaka hilo linafahamika.
Sababu ya kuingia Gaza na kukaa milele ishapatikanaIsrael wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-
1. Nyerere alidramatize kuwa wanajeshi wa Uganda wameivamia Kagera ili amchape Idd Amini.
2. Rais Edogan Tayyip wa Uturuki alidramatize mapinduzi ili amshughulikie mpinzani wake mkuu kisiasa (mmiliki wa Feza Schools) aliyekuwa anamtishia yeye kuipata awamu ya pili.
Hapo Israel imefanikiwa kuipata sababu ya kuichapa Palestine na itachapika kweli kweli.
Makubaliano wakati umevamiwa hayapo hadi mizani iwe sawaJe kuna haja warejee kwenye makubaliano ya Oslo?
Au makubaliano yale yamekufa.
Kawajibu haswa kuna magorofa zaidi ya 800 yameshafanywa kifusi. Na aliapa kuwa kitachotokea hawatakisahauMsiwape kichwa Hamas kitendo walichokifanya cha uchokozi wa wazi nauhakika Netanyahu atajibu mapigo na watalia na kuomba jumuia ya kimataifa waingilie Kati na walaani huku wakisahau wao ndio waanzishaji