Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Tunadanganywa sana na documentary zao kuwa wapo makini ki upelelezi na kung'amua jambo linalotaka kutokea, inakuaje watu wanaanda mashambulizi ya vifaa kwa uwingi ule bila kujua na technolojia wanazojisifu nazo
Mbwa wale
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Mwanzo na mwisho wa vita vya Israel na Wapalestina uko wazi ndani ya Biblia. Waisraeli Usalama wao hutegemea uaminifu wao kwa Mungu. Miaka ya 500 BC manabii walitabiri Israel kupigwa na kutawanywa, Kisha watarudishwa, na watakaporudishwa hakuna wa kuwatoa. Mwaka 133AD Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa mataifa mbalimbali, nchi ikabaki tupu baada ya miaka kadhaa, wakirudi 1948, wakakuta nchi inakaliwa na Wapalestina, kama alivyosema na ii Hosea, watakaporudi hakuna wa kuwatoa, ndivyo ilivyo, Waisraeli watakaa nchi waliyopewa wakatawanywa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sasa itakuwa vita ya Dunia. Haitaisha hadi Yesu arudi
 
Ficha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?
Wewe huelewi mwisho wa hao Wapalestina, Israel imerudi 1948 kwenye nchi waliyopewa na hakuna wa kuwatoa. Wewe kama ni Muislamu, soma Quran 5:21 utaelewa nchi hiyo ni nani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Wangekuwa vizuli kwa Ushushu ndege zinge gongeshwa kwenye majengo yao thamani[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Akili ndogo unachambuaje mambo. Mbona unawaza vyepesi kiasi hiki
 
Hata Mimi naamini hii ni calculated move ili kuwachanganya !
Sio kweli kuzidiwa kupo waswahili.walisha sema hivi ukijua mbinu za adui yako umeshinda nusu ya vita,walio vamia ni watu na akili zao tofaoti yao na wayahudi ni kutengwa na dunia tu
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Kama wako vizuri mbona walishindwa 9/11 na Afghanistan na Ukraine? Acha kujidanganya
 
MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.

Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Na wanajisifugi wanaabadilishana taarifa mara kwa mara ...
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Tuiombee Israel hayo ni maagizo ya lazima ya Mungu kwa kila mwenye kumkubali Mungu wa "KWELI"
 
Israel wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-
1. Nyerere alidramatize kuwa wanajeshi wa Uganda wameivamia Kagera ili amchape Idd Amini.
2. Rais Edogan Tayyip wa Uturuki alidramatize mapinduzi ili amshughulikie mpinzani wake mkuu kisiasa (mmiliki wa Feza Schools) aliyekuwa anamtishia yeye kuipata awamu ya pili.

Hapo Israel imefanikiwa kuipata sababu ya kuichapa Palestine na itachapika kweli kweli.
Dramatize kuuawa kwa raia wao 600, huku wengine 100+ ikiwemo askari na raia wakuchukuliwa mateka?.....hapana mkuu...

Hii ni intelligence failure kubwa sana itakayowatesa muda mrefu.

Ni vigumu hata kufanya 'rescue operation' kwa idadi kubwa namna hiyo huku ikiwa hujui walipofichwa, Sana Sana Hamas watawatumia kama bargaining chip kupata wanachotaka.

T14 Armata
 
Back
Top Bottom