Kikubwa hawafi kwa kupigania kula tunda kimasiharaKwaiyo wakiunda chama cha kigaidi ndo watapata amani ?? watakufa hadi abakie mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa hawafi kwa kupigania kula tunda kimasiharaKwaiyo wakiunda chama cha kigaidi ndo watapata amani ?? watakufa hadi abakie mmoja
Kudadeki zako. Wapo vizuri kwenye ushushu. Kwa hiyo,Israel ni mjinga kukusudia kupoteza idadi ile ya watu,kwa lengo lolote? La hasha! Hivi, labda uulize waliowahi au waliopo jeshini.
Unaujua uzito wa kuuliwa kwa mwanajeshi(kutoka jeshi lingine)? Haya wamekufa. Unajua uzito wa mwanajeshi kutekwa?
Bro,mi sihusiki kwa lolote,lakini pia,acha ushabiki wa kishamba.
Kikubwa hapa elewa kwamba hata hao waasi,wamejipanga au wamepata msaada. Na kama wameweza kupenya, kushambulia na kuteka watu, kwenye ardhi ya Israel unayoijua,jiulize wametumia mbinu na nguvu gani. Kama nchi haijauzwa, basi dunia ya jana siyo ya leo. Hiyo mitambo ya kudaka makombola kama haikufanya kazi,ilizimwa au yametengenezwa makombola yanayoizidi uwezo. Mpaka wakomae unadhani ni leo?
We hangaikia bamia na ubwabwa tu mengine waachie wenyewe
Haya, wamerusha wa kuelekezwa. Siku wakirusha wanaotengeneza na wenye uwezo wa kurusha mengi? Sema tu haya yote,yule alojifanya askali police wa dunia nzima,amewadanganya wengi,ila kumbuka kilichompata Osama alipomtembelea! Bahati mbaya wanafanya ujinga wao kuelekeza kwa watu wasio na hatia. Mwanajeshi kamili atakabiliana na jeshi analolitaka,si raia wa kawaida.Ile mitambo ina maximamu capacity ya kufanya kazi
mfano msimu ulopita makombora 300 yarirushwa 5 yakafika!!
Walishafannya sana ivo lakini amani haijapatikana mpaka leoLakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Hebu fafanua zaidi ni lini Hamas walifanya mazungumzo na Israel?Walishafannya sana ivo lakini amani haijapatikana mpaka leo
Changamoto kubwa ilioko hapo middle ni kiburi cha wana israel
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sio kwa ushabiki huo, subiria vifusi kila kona. Mfilisti hana ubavu wa kushinda watoto wa Yakobo.Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.Wakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
Sikujua kama una utoto hivyo ,Hamas sio Chadema Kwa Ccm,kwamba Chadema wakipewa maburubgutu operesheni zinanywea,Hamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.
Oparesheni kama ile ya Entebe itafanywa halafu Qassam Brigade na Hamas itamalizwa kama ISIS watabaki kuwa kikundi cha mitandaoni tu.Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
Swali hapa, je wangoni leo hii wanaweza kurudi south afrika waseme tulitapakaa sasa tumerudi kuchukua maeneo yetu na dunia ikaona sawa na kuwaunga mkono?Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.
Aliyeanzisha chokochoko ni nani? acha wapigwe mpk wafutikeHuu sio mpira wa Ulaya wala Simba na Yanga na kuanza kuuliza maswali ya kitoto
Yanayoendelea leo ni muendelezo wa uonezi na uvamizi wa mara kwa mara wa wayahudi na kila mmoja analiona kama ni binadamu timamu
Nyerere alikataa haya mambo na akaweka wazi msimamo wa Tz kwa Israel
Leo wamekufa watu wengi na wanaendelea kufa na sisi sio wa kufurahia
Vita sio mchezo wa kushabikia
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.
Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.
Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.
Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?
Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Chenga tuu 🤣🤣Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.
Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.
Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.
Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?
Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Wewe ndio unayekiona chama cha kigaidi kwa sababu kinambambana na wewe lakini waliokiunda wanakiona ni chama cha ukombozi kwasababu kinambambania masilahi yao.Kwaiyo wakiunda chama cha kigaidi ndo watapata amani ?? watakufa hadi abakie mmoja
Mbona walishindwa kuwaokoa wenzao wasichinjwe na Hitler kama kuku.Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua
amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro waoLakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Wakazi wa Gaza wameichagua Hamas ndio maana hiwa wanaadhibiwa.Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro wao
Na kinyume chake pia ni jibu sahihi. Huenda wameacha lifanyike ili nao watimize haja yao. Hoja za kiintelijensia zinajengwa kwa taarifa za kiintelijensia. Ongeza data huenda uko sahihiIsrael imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea...
Ni kweli kabisa DR Congo kila siku watu wana uwawa lakini sio news.Waafrika tunapigana wao wapo kimya ,nawapa pole hayanihusu