Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Tusubili ndani, ya, saa, 72,zijazo,
Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
Acha ujinga kiraza, jiulize kwanini walificha picha ya mtu waliomuua na kumtangaza kuwa ni OSAMA?
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania ardhi ya Ngorongoro aliyoshushiwa baba yetu Adam(A.S).....

Tanzania ni patakatifu zaidi ya Israel na Palestine.....

Waambie Wayahudi na wapalestina kuwa ardhi zao si salama zaidi ya huku atokako Nabii Adam(A.S)... .

Si leo wala kesho ila iko siku vizazi vyao vitafanya EXODUS kurudi Ngorongoro Crater[emoji120]

#Tanzania Pepo Ya Dunia[emoji120]

#Anayetaka Kuuvunja Muungano Wa SMT avunjike mgongo aaamin aaaamin aaaaamin [emoji120][emoji120][emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Mungu amechukizwa na Israel kwa kuwa wamemgeukia shetani. Juzi juzi wamepitisha sheria ya mashoga. Wamerudi kulekule kwa Sodoma na Gommorrah. Waache wapigwe tu
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Kudadeki zako. Wapo vizuri kwenye ushushu. Kwa hiyo, Israel ni mjinga kukusudia kupoteza idadi ile ya watu, kwa lengo lolote? La hasha! Hivi, labda uulize waliowahi au waliopo jeshini.

Unaujua uzito wa kuuliwa kwa mwanajeshi (kutoka jeshi lingine)? Haya wamekufa. Unajua uzito wa mwanajeshi kutekwa?

Bro, mimi sihusiki kwa lolote, lakini pia, acha ushabiki wa kishamba.

Kikubwa hapa elewa kwamba hata hao waasi, wamejipanga au wamepata msaada. Na kama wameweza kupenya, kushambulia na kuteka watu, kwenye ardhi ya Israel unayoijua, jiulize wametumia mbinu na nguvu gani. Kama nchi haijauzwa, basi dunia ya jana siyo ya leo. Hiyo mitambo ya kudaka makombola kama haikufanya kazi, ilizimwa au yametengenezwa makombola yanayoizidi uwezo. Mpaka wakomae unadhani ni leo?

Wewe hangaikia bamia na ubwabwa tu, mengine waachie wenyewe.
 
Hii vita hawawezi kushinda.
Nani kakuambia wanataka kush
Hii vita hawawezi kushinda.
Nani kakuambia wanataka kushinda vita, unafikili Hamasi hawajui nguvu ya Israel na sapati wanayiopata toka magharibi?

Hapo Hamasi walikuwa wanatuma ujumbe kwa dunia kwamba sehemu yenye dhuruma msitegemee kuwa na amani
 
Nani kakuambia wanataka kush
Nani kakuambia wanataka kushinda vita, unafikili Hamasi hawajui nguvu ya Israel na sapati wanayiopata toka magharibi?

Hapo Hamasi walikuwa wanatuma ujumbe kwa dunia kwamba sehemu yenye dhuruma msitegemee kuwa na amani
Hamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.
 
MAONI: Hatutarajii zile kelele za siku zote kwamba fulani anaua watoto na wagonjwa hospitalini.

Hayo maroketi hayana macho bila shaka hilo linafahamika.
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania ardhi ya Ngorongoro aliyoshushiwa baba yetu Adam(A.S).....

Tanzania ni patakatifu zaidi ya Israel na Palestine.....

Waambie Wayahudi na wapalestina kuwa ardhi zao si salama zaidi ya huku atokako Nabii Adam(A.S)... .

Si leo wala kesho ila iko siku vizazi vyao vitafanya EXODUS kurudi Ngorongoro Crater[emoji120]

#Tanzania Pepo Ya Dunia[emoji120]

#Anayetaka Kuuvunja Muungano Wa SMT avunjike mgongo aaamin aaaamin aaaaamin [emoji120][emoji120][emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
Heshima yako mkuu!

Huwezi kupunguza matumizi ya emoji?
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Israel wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-
1. Nyerere alidramatize kuwa wanajeshi wa Uganda wameivamia Kagera ili amchape Idd Amini.
2. Rais Edogan Tayyip wa Uturuki alidramatize mapinduzi ili amshughulikie mpinzani wake mkuu kisiasa (mmiliki wa Feza Schools) aliyekuwa anamtishia yeye kuipata awamu ya pili.

Hapo Israel imefanikiwa kuipata sababu ya kuichapa Palestine na itachapika kweli kweli.
 
Je kuna haja warejee kwenye makubaliano ya Oslo?

Au makubaliano yale yamekufa.
 
MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.

Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
In short unashangilia upumbavu!
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Msiwape kichwa Hamas kitendo walichokifanya cha uchokozi wa wazi nauhakika Netanyahu atajibu mapigo na watalia na kuomba jumuia ya kimataifa waingilie Kati na walaani huku wakisahau wao ndio waanzishaji
 
MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.

Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Tunadanganywa sana na documentary zao kuwa wapo makini ki upelelezi na kung'amua jambo linalotaka kutokea, inakuaje watu wanaanda mashambulizi ya vifaa kwa uwingi ule bila kujua na technolojia wanazojisifu nazo
 
Back
Top Bottom