Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Kudadeki zako. Wapo vizuri kwenye ushushu. Kwa hiyo,Israel ni mjinga kukusudia kupoteza idadi ile ya watu,kwa lengo lolote? La hasha! Hivi, labda uulize waliowahi au waliopo jeshini.
Unaujua uzito wa kuuliwa kwa mwanajeshi(kutoka jeshi lingine)? Haya wamekufa. Unajua uzito wa mwanajeshi kutekwa?

Bro,mi sihusiki kwa lolote,lakini pia,acha ushabiki wa kishamba.

Kikubwa hapa elewa kwamba hata hao waasi,wamejipanga au wamepata msaada. Na kama wameweza kupenya, kushambulia na kuteka watu, kwenye ardhi ya Israel unayoijua,jiulize wametumia mbinu na nguvu gani. Kama nchi haijauzwa, basi dunia ya jana siyo ya leo. Hiyo mitambo ya kudaka makombola kama haikufanya kazi,ilizimwa au yametengenezwa makombola yanayoizidi uwezo. Mpaka wakomae unadhani ni leo?

We hangaikia bamia na ubwabwa tu mengine waachie wenyewe

Ile mitambo ina maximamu capacity ya kufanya kazi
mfano msimu ulopita makombora 300 yarirushwa 5 yakafika!!
 
Ile mitambo ina maximamu capacity ya kufanya kazi
mfano msimu ulopita makombora 300 yarirushwa 5 yakafika!!
Haya, wamerusha wa kuelekezwa. Siku wakirusha wanaotengeneza na wenye uwezo wa kurusha mengi? Sema tu haya yote,yule alojifanya askali police wa dunia nzima,amewadanganya wengi,ila kumbuka kilichompata Osama alipomtembelea! Bahati mbaya wanafanya ujinga wao kuelekeza kwa watu wasio na hatia. Mwanajeshi kamili atakabiliana na jeshi analolitaka,si raia wa kawaida.
 
Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Sio kwa ushabiki huo, subiria vifusi kila kona. Mfilisti hana ubavu wa kushinda watoto wa Yakobo.
 
Wakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.
 
Hamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.
Sikujua kama una utoto hivyo ,Hamas sio Chadema Kwa Ccm,kwamba Chadema wakipewa maburubgutu operesheni zinanywea,

Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
 
Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
Oparesheni kama ile ya Entebe itafanywa halafu Qassam Brigade na Hamas itamalizwa kama ISIS watabaki kuwa kikundi cha mitandaoni tu.

IDF ilitoka Gaza na Sasa inarudi Gaza.
 
Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.
Swali hapa, je wangoni leo hii wanaweza kurudi south afrika waseme tulitapakaa sasa tumerudi kuchukua maeneo yetu na dunia ikaona sawa na kuwaunga mkono?
Kihistoria jamii kibao zimehama maeneo mbalimbali lakini hakuna iliyorudi na kudai hayo maeneo.
 
Huu sio mpira wa Ulaya wala Simba na Yanga na kuanza kuuliza maswali ya kitoto
Yanayoendelea leo ni muendelezo wa uonezi na uvamizi wa mara kwa mara wa wayahudi na kila mmoja analiona kama ni binadamu timamu
Nyerere alikataa haya mambo na akaweka wazi msimamo wa Tz kwa Israel
Leo wamekufa watu wengi na wanaendelea kufa na sisi sio wa kufurahia

Vita sio mchezo wa kushabikia
Aliyeanzisha chokochoko ni nani? acha wapigwe mpk wafutike
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l

Ni Kweli kaka
Ila vipi kama walijua halafu wakapuuza? ?
Au Hawakufanyia Kazi?
 
Chenga tuu 🤣🤣

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1710997573345898905?t=ZT4bwo9l40y7BKZZK2bcnQ&s=19
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Mbona walishindwa kuwaokoa wenzao wasichinjwe na Hitler kama kuku.
 
Lakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro wao
 
Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro wao
Wakazi wa Gaza wameichagua Hamas ndio maana hiwa wanaadhibiwa.
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea...
Na kinyume chake pia ni jibu sahihi. Huenda wameacha lifanyike ili nao watimize haja yao. Hoja za kiintelijensia zinajengwa kwa taarifa za kiintelijensia. Ongeza data huenda uko sahihi
 
Back
Top Bottom