Israeli hadharani kabisa wamemkataa Masihi aliyekuja kutangaza amani ulimwenguni.
Sasa tuwasaidie nini.
Binafsi sipendi kabisa vita na vurugu kwakuwa inawaumiza wasio na hatia kabisa wala kuhusika na uhasama wao.
Israeli hawapendi amani, hawapendi kumsikiliza Kristo na wamemkana hadharani kabisa haya ndio matokeo yake.
Sidhani kama hao wanao pigana wameshindwa kuleta amani kwa njia ya maongezi.
Wenyewe wameamua kutumia mabavu na hayo ndio matokeo yake.
Yohana (Joh) 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Peace I leave with you, my peace I give unto you: not as the world giveth, give I unto you. Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.
Hutaki Amani Unataka Vita Basi ni Hakika Utapata Vita.