Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?


Jidanganye mkuu,,, tutasubiri hiyo siku uone kitachowapata!! Mashariki hamna taifa lenye nguvu Ukitoa Israel labda kidogo ni hiyo iran .Kama Iran wana uwezo huo wangekua wameshambulia wenyewe…..

Vita ya kuvizia daima hupigana na asie na ubavu
 
Sikujua kama una utoto hivyo ,Hamas sio Chadema Kwa Ccm,kwamba Chadema wakipewa maburubgutu operesheni zinanywea,

Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .

Anachosema ni kweli huu ndio mwisho wa HAMASI!!..
Kwa kifupi hata gaza ita annexiwa!
Israel kila ikishinda vita huchukua maeneo . Misri inawajua sana hawa jamaa ndo maana hutaona wamenyanyua mdomo
 
Nimeanza kuamini kwamba hawa wayahudi walijua kuhusu operation ya Hamas.
Kuna taarifa kwamba Misiri iliwaonya watawala wa kiyahudi juu ya mashambilizi kutoka Gaza.
Habari hii nimeiona Eljaazira.
 
Hata mimi nilipata na mshangao sana ,kwamba Israel,usijue ! Kumbe walipata taarifa kutoka kwa ndg yao Alsisi wa Misri ,mkumbuke huyu Alsisi anayo chembe chembe za kiyahudi kutoka kwa mama yake.
Kama walijua ,waliwawekea mtego ili wapate uhalali wa kimataifa kuishambulia Gaza na kufanya uharibifu mkubwa chini ya mwavuli wa kisasi au kuwaangamiza Hamas. Japokuwa nadhani hawakutegemea kupata madhara makubwa kama ilivyotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…