Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Vita ni kitu kibaya popote pale kwa sababu siku zote wanaopata matatizo ni wale innocent’s !!
Tuombe Mungu hii vita iishe haraka !!
Hapana, acha iendelee. Unadhana hao paka watakukumbuka acha tu kukuombea wewe mtu mweusi ukipatwa na tatizo?
 
Acha kuandika pumba.
 
Unapigwa sehemu ambayo hukutarajia ni kama ngumi tu hoja mezani Israel intelligence yake kubwa kama tunavoaminishwa
 
Acha kuandika pumba.
Jamaa ana hoja kubwa sana mkuu usiseme ni pumba.

Kumbuka ya September 11 Marekani chini ya Bush Jr. Marekani ilitengeneza sababu ili kuivamia Iraq and Afghanistan.
 
Nachelea kusema huna akili, taifa la wazayuni uhai wa mtu wao nimuhim kuliko chochote mwaka 2006 waliachilia mateka mia 3 ilikubadilishana nakijana wao mmoja tu, et leo unasema wameamua watu wao zaid ya mia 7 nawanajesh wakiwemo kuuwawa
Mm nimesema wame-dramatize. Au hujui maana ya kudramatize?
 
Kwahiyo sahivi ndo mmeona watu wanakufa kisa Israel kujibu mashambulizi?
Juzi watu waMefurahi sn humu tuna waangalia tu,wale ndo Wana akili?
Btw mi sio shabiki ...
Na Nina akili zangu timamu...

Kusema acha nione mwisho wake ndo nimeshabikia?
Acha upumbavu

Haijalishi uko upande gani vifo vya watu sio jambo la kushabikia

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hamas ni mchokozi.

Hata hivyo, vita si kitu kizuri.
 
Jamaa ana hoja kubwa sana mkuu usiseme ni pumba.

Kumbuka ya September 11 Marekani chini ya Bush Jr. Marekani ilitengeneza sababu ili kuivamia Iraq and Afghanistan.
September 11 ni kazi yao marekani,hii ya hamas waisrael zaidi ya buku kuuliwa ni kufeli kwa intelligence siyo mipango yao,which means Kuna mtu Katia mkono kwenye intelligence ya Israel
 
September 11 ni kazi yao marekani,hii ya hamas waisrael zaidi ya buku kuuliwa ni kufeli kwa intelligence siyo mipango yao,which means Kuna mtu Katia mkono kwenye intelligence ya Israel
Bado ujaua ukweli .
 
September 11 ni kazi yao marekani,hii ya hamas waisrael zaidi ya buku kuuliwa ni kufeli kwa intelligence siyo mipango yao,which means Kuna mtu Katia mkono kwenye intelligence ya Israel
Sijui kama unajua Hamas ni zao la Marekani!!
 
September 11 ni kazi yao marekani,hii ya hamas waisrael zaidi ya buku kuuliwa ni kufeli kwa intelligence siyo mipango yao,which means Kuna mtu Katia mkono kwenye intelligence ya Israel
Mainfoma wamewalisha matangopori wana intelijensia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…