Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡΄?

Kadi gani tena mbona mmeanza kunichanganya?
Referee si unamjua ?

Msimamizi wa mechi huwa Ana kadi mbili ikitokea umefanya makosa uwanjani au kumchezea rafu (faulo) mchezaji mwingine

Kadi ya njano ikiwa Kama onyo au tukio likiwa halina madhara makubwa

Na nyekundu ikiwa kuna athari au madhara makubwa kwa tukio husika
 
Vaa chupi ya chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…