Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato.

Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi.

Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa wafanyakazi wa ndani?
 
Ukienda Mwanza wafanyakazi wengi wa ndani wanatokea huko Bariadi/Simiyu,Mara,Kagera na Mwanza yenyewe. Alafu wafanyakazi wahudumu wa baa (Bar maids) wengi wanatokea Kilimanjaro,Arusha, Manyara na Singida.

Inshort mabinti wengi wanakimbia hali ngumu za maisha vijijini na wengine hawapendi kulima na kazi ngumu. Wanakimbilia mjini kubahatisha maisha. Wengi wanaishia kujiuza na wazazi wanafikiri huko waliko watoto wao wanafanya kazi za maana. Na wakirudi vijijini hujitahidi kupendeza kweli kweli!
 
Matunduizi,
Unataka umasikini vijijini uishe kwa mishahara ya kazi za ndani?
 
Basi kumbe kunamaendelea kidogo. Maana zamani mwanza barmaids karibu 90% walikuwa wanatokea Bukoba(wahaya) Sijui sababu ilikiwa ni nini.
 
Mbona hata Singida inasifika kwa kutoa wasichana wa ndani?
Singida huwa kuna mabinti wazuri hadi maporini. Hao watakuwa wanaongeza changamoto kwa mama wa familia. Tofauti na wa kasulu kwetu huko unakuta kafupi na sura iko disorganaizdi.
 
Basi kumbe kunamaendelea kidogo. Maana zamani mwanza barmaids kari 90% walikuwa wanatokea Bukoba(wahaya) Sijui sababu ilikiwa ni nini.
We ye mabaa wamegundua Wasukuma wanpenda rangi nyeupe...😂😂 Wanwaleta kuwavutia
 
Matunduizi,
Unataka umasikini vijijini uishe kwa mishahara ya kazi za ndani?
Mkuu nilichogundua vijiji ambavyo wanapata vyakula vya kutosha na pesa angalau zinapatikana, wazazi ni vigumu kutoa mtoto wake awe mfanyakazi. Anaona kama ni kushindwa majukumu yake.

Kuna kijiji kimoja usukumani niliwahi kwenda wanasema huko ni marufuku mtu kuwa mfanyakazi. Wakikuhurumia labda wakupe tu ukae naye kama mwanafamilia kwa muda. Sio wote ila wengi wa wazazi.
 
Ukienda Mwanza wafanyakazi wengi wa ndani wanatokea huko Bariadi/Simiyu,Mara,Kagera na Mwanza yenyewe. Alafu wafanyakazi wahudumu wa baa (Bar maids) wengi wanatokea Kilimanjaro,Arusha, Manyara na Singida.

Inshort mabinti wengi wanakimbia hali ngumu za maisha vijijini na wengine hawapendi kulima na kazi ngumu. Wanakimbilia mjini kubahatisha maisha. Wengi wanaishia kujiuza na wazazi wanafikiri huko waliko watoto wao wanafanya kazi za maana. Na wakirudi vijijini hujitahidi kupendeza kweli kweli!

Na wakirudi vijijini uolewa haraka sana kwa sababu wanakuwa wamependeza.
Chezea uhakika wa milo 3 kwa siku huku juice soda zipo kwenye friji plus mafuta ya mgando ya kujipaka plus uhakika wa kujiachia home kwenye tv mabosi wakienda kazini.
Shamba boy, house girl walinzi wa home ndio wanaofaidi nguvu kazi za mabosi wakati maboss wanakonda kwa mawazo wao wanafyatuka.
Wakirejea kijijini wao ndio maboss.
 
Mikoa yote inatoa dada wa kazi kwa rate sawa.
Ishu kubwa ni umasikini na ujinga vijijini elimu kuhusu uchumi ni sifuri
 
Sio maisha magumu ni asili na utendaji kazi ndo maana ukienda kweny bars nyingi utakuta mabinti wa Arusha, Kilimanjaro ,singida, Manyara Kwa wingi hata wengine wapo ila hao ndo common tena wale weupe.

Ukiangalia Kwa ndani Kwa biashara za bars basi utajua ni ishu za masoko zaidi.
 
Wakipata vinguo tu, wanaanza kuwaza kurudi kwao ili wakauze surq kidogo.
Kimsingi kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri na lishe.
 
Sio maisha magumu ni asili na utendaji kazi ndo maana ukienda kweny bars nyingi utakuta mabinti wa Arusha, Kilimanjaro ,singida, Manyara Kwa wingi hata wengine wapo ila hao ndo common tena wale weupe.

Ukiangalia Kwa ndani Kwa biashara za bars basi utajua ni ishu za masoko zaidi.
Nadhani wanatumia weupe wao kama chambo ya wateja. Wakiwa mabekitatu huku usukumani hao wadada weupe, wanaweza kusababisha wakina mayo wakafanyiwa sabu.
Maana wasukuma mtu qkiwa mweupe tu, kosa.
 
Mikoa yote inatoa dada wa kazi kwa rate sawa.
Ishu kubwa ni umasikini na ujinga vijijini elimu kuhusu uchumi ni sifuri
Wengine naona wanakuwa na soko zaidi kulingana na tabia za asili za mahali husika. Kuna kabila wabinti wameandaliwa kuwa mcharuko. Na wengine ni wachawiwachawi sana.
 
Nadhani wanatumia weupe wao kama chambo ya wateja. Wakiwa mabekitatu huku usukumani hao wadada weupe, wanaweza kusababisha wakina mayo wakafanyiwa sabu.
Maana wasukuma mtu qkiwa mweupe tu, kosa.
Hiyo mikoa inayotoka mabeki tatu ,wengi hata wanawake wa huko kweny ndoa Wana sifa ya uchapakazi na kutunza nyumba.

Iringa hakuna umaskini wa kutisha ila ni wachapakazi Kwa sana.
 
Back
Top Bottom