Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

Kwa sababu ya ujinga.Wazazi vijijini uwaambia mabinti zao darasa la Saba wajaze majibu ya uongo ili wasifaulu wakafanye kazi za ndani mjini kama Fulani
Wazee wajinga sana wanawaza kunufaika kutumiwa elf 30 au 40 kila mwezi vijijini nao wanaonekana watu wanawatambia wenzao vijijini vilabuni.
Bila kujua risk mfano mtoto anadungwa mimba na bodaboda mjini anatelekezwa wanarudi kijijini wawili yaani yeye na mjukuu.
 
Hiyo mikoa inayotoka mabeki tatu ,wengi hata wanawake wa huko kweny ndoa Wana sifa ya uchapakazi na kutunza nyumba.

Iringa hakuna umaskini wa kutisha ila ni wachapakazi Kwa sana.
Uchapakazi wao naona ndio umewapa credit kwenye ubekitatu. Hasa wale watoto wa masikini wasio na elimu vijijini
 
Sema hapa bongo wanalipwa Hela mbuzi sana yaani elf 50 hadi laki moja kwa wafanyao kwa matajiri.
Serikali ingeruhusu exportation ya dada wa kazi nje ili kupata pesa za kigeni,waliobahatika nje wengi wameboresha maisha ya kwao wamewajengea nyumba nzuri wazazi wao,wamewasomesha ndugu zao,wamewapa mitaji ndugu zao.
Pia wengine wamepata NEEMA ya kuchanga damu kwa kuolewa huko.
Dada wa kazi nje ana mshahara mkubwa kuliko msomi wa masters mwajiriwa bongo.
 
Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato.

Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi.

Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa wafanyakazi wa ndani?
Moshi hakuna kijiji masikin na anaefanya kaz za ndan sio masikin. Ni binadamu anaejitambua ambae ameamua kutafuta maisha.
 
Sema hapa bongo wanalipwa Hela mbuzi sana yaani elf 50 hadi laki moja kwa wafanyao kwa matajiri.
Serikali ingeruhusu exportation ya dada wa kazi nje ili kupata pesa za kigeni,waliobahatika nje wengi wameboresha maisha ya kwao wamewajengea nyumba nzuri wazazi wao,wamewasomesha ndugu zao,wamewapa mitaji ndugu zao.
Pia wengine wamepata NEEMA ya kuchanga damu kwa kuolewa huko.
Dada wa kazi nje ana mshahara mkubwa kuliko msomi wa masters mwajiriwa bongo.
Wakenya wao wameruhusu wanawake kwenda Uarabuni kufanya kazi za ndani.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu ya ujinga.Wazazi vijijini uwaambia mabinti zao darasa la Saba wajaze majibu ya uongo ili wasifaulu wakafanye kazi za ndani mjini kama Fulani
Wazee wajinga sana wanawaza kunufaika kutumiwa elf 30 au 40 kila mwezi vijijini nao wanaonekana watu wanawatambia wenzao vijijini vilabuni.
Bila kujua risk mfano mtoto anadungwa mimba na bodaboda mjini anatelekezwa wanarudi kijijini wawili yaani yeye na mjukuu.
Mira na tamaduni zina changia watoto wakike waondoke majumbani kwao au wabakie majumbani kwao, Mfano Wamasai hawa wezi kumruhusu binti aondoke nyumbani kwanza mtoto wakike ni mali, kwaiyo mzazi huwezi kuruhusu mali iondoke bure, kwasababu jamii ya kifugaji binti zao wanaolewa kuanzia miaka 14 kama hapendi shule kwaiyo mzazi binti yako akiolewa unapata Ng'ombe 20.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mira na tamaduni zina changia watoto wakike waondoke majumbani kwao au wabakie majumbani kwao, Mfano Wamasai hawa wezi kumruhusu binti aondoke nyumbani kwanza mtoto wakike ni mali, kwaiyo mzazi huwezi kuruhusu mali iondoke bure, kwasababu jamii ya kifugaji binti zao wanaolewa kuanzia miaka 14 kama hapendi shule kwaiyo mzazi binti yako akiolewa unapata Ng'ombe 20.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hii imesaidia sana masai kudumisha mila na kuzuia muingiliano na jamii ingine sijawai ona dada mmasai
 
Wapo sema wa chache sana, Kwa tamaduni za kimasai mtoto wakike akizaliwa tu tayari anapata mume kweiyo mume wake anasubiri mpaka binti awe mkubwa hata kama binti ataenda kusoma mbali lakini mume wake yupo kijiji lazima binti atarudi kuolewa naye.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wapo wadada wengi tu wameupiga mwingi kwa kuja mjini wamebahatika kupata waoaji wazuri mjini hadi wakasahu mateso huku nao wakiwa maboss kwa kuajiri wengine,wapo waliochanga wakafungua biashara zao.
Pia wapo iliyokuwa kwao baada ya kudungwa wakatelekezwa
 
Back
Top Bottom