matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Basi kumbe kunamaendelea kidogo. Maana zamani mwanza barmaids karibu 90% walikuwa wanatokea Bukoba(wahaya) Sijui sababu ilikiwa ni nini.Ukienda Mwanza wafanyakazi wengi wa ndani wanatokea huko Bariadi/Simiyu,Mara,Kagera na Mwanza yenyewe. Alafu wafanyakazi wahudumu wa baa (Bar maids) wengi wanatokea Kilimanjaro,Arusha, Manyara na Singida.
Inshort mabinti wengi wanakimbia hali ngumu za maisha vijijini na wengine hawapendi kulima na kazi ngumu. Wanakimbilia mjini kubahatisha maisha. Wengi wanaishia kujiuza na wazazi wanafikiri huko waliko watoto wao wanafanya kazi za maana. Na wakirudi vijijini hujitahidi kupendeza kweli kweli!
Singida huwa kuna mabinti wazuri hadi maporini. Hao watakuwa wanaongeza changamoto kwa mama wa familia. Tofauti na wa kasulu kwetu huko unakuta kafupi na sura iko disorganaizdi.Mbona hata Singida inasifika kwa kutoa wasichana wa ndani?
We ye mabaa wamegundua Wasukuma wanpenda rangi nyeupe...😂😂 Wanwaleta kuwavutiaBasi kumbe kunamaendelea kidogo. Maana zamani mwanza barmaids kari 90% walikuwa wanatokea Bukoba(wahaya) Sijui sababu ilikiwa ni nini.
Mkuu nilichogundua vijiji ambavyo wanapata vyakula vya kutosha na pesa angalau zinapatikana, wazazi ni vigumu kutoa mtoto wake awe mfanyakazi. Anaona kama ni kushindwa majukumu yake.Matunduizi,
Unataka umasikini vijijini uishe kwa mishahara ya kazi za ndani?
Msukuma na mtoto mwekundu/mweupe ni kama kambare na tope.We ye mabaa wamegundua Wasukuma wanpenda rangi nyeupe...😂😂 Wanwaleta kuwavutia
Ukienda Mwanza wafanyakazi wengi wa ndani wanatokea huko Bariadi/Simiyu,Mara,Kagera na Mwanza yenyewe. Alafu wafanyakazi wahudumu wa baa (Bar maids) wengi wanatokea Kilimanjaro,Arusha, Manyara na Singida.
Inshort mabinti wengi wanakimbia hali ngumu za maisha vijijini na wengine hawapendi kulima na kazi ngumu. Wanakimbilia mjini kubahatisha maisha. Wengi wanaishia kujiuza na wazazi wanafikiri huko waliko watoto wao wanafanya kazi za maana. Na wakirudi vijijini hujitahidi kupendeza kweli kweli!
Nilikuwa sijui.Nikugawana tu majukumu mbona wa Iraq na wa nyeramba wengi ni wahudumu wa bar kuliko wengine? Ni mgawano wa kaz na connection tu.
Wakipata vinguo tu, wanaanza kuwaza kurudi kwao ili wakauze surq kidogo.Na wakirudi vijijini uolewa haraka sana kwa sababu wanakuwa wamependeza.
Chezea uhakika wa milo 3 kwa siku huku juice soda zipo kwenye friji plus mafuta ya mgando ya kujipaka plus uhakika wa kujiachia home kwenye tv mabosi wakienda kazini.
Shamba boy, house girl walinzi wa home ndio wanaofaidi nguvu kazi za mabosi wakati maboss wanakonda kwa mawazo wao wanafyatuka.
Wakirejea kijijini wao ndio maboss.
Nadhani wanatumia weupe wao kama chambo ya wateja. Wakiwa mabekitatu huku usukumani hao wadada weupe, wanaweza kusababisha wakina mayo wakafanyiwa sabu.Sio maisha magumu ni asili na utendaji kazi ndo maana ukienda kweny bars nyingi utakuta mabinti wa Arusha, Kilimanjaro ,singida, Manyara Kwa wingi hata wengine wapo ila hao ndo common tena wale weupe.
Ukiangalia Kwa ndani Kwa biashara za bars basi utajua ni ishu za masoko zaidi.
Wengine naona wanakuwa na soko zaidi kulingana na tabia za asili za mahali husika. Kuna kabila wabinti wameandaliwa kuwa mcharuko. Na wengine ni wachawiwachawi sana.Mikoa yote inatoa dada wa kazi kwa rate sawa.
Ishu kubwa ni umasikini na ujinga vijijini elimu kuhusu uchumi ni sifuri
Hiyo mikoa inayotoka mabeki tatu ,wengi hata wanawake wa huko kweny ndoa Wana sifa ya uchapakazi na kutunza nyumba.Nadhani wanatumia weupe wao kama chambo ya wateja. Wakiwa mabekitatu huku usukumani hao wadada weupe, wanaweza kusababisha wakina mayo wakafanyiwa sabu.
Maana wasukuma mtu qkiwa mweupe tu, kosa.